Makabi Lilepo
Member
- May 28, 2023
- 95
- 148
Hii staili tuliyopigwa leo na Utumishi nadhan ndo ile inaitwa Mamelodi Mkanye Yangayaadi dibeshidwa kuelewa gabisa bdf lida dusu beji gweli yaadi adi nibebata bafua.bababae
🤣 🤣 🤣Hii staili tuliyopigwa leo na Utumishi nadhan ndo ile inaitwa Mamelodi Mkanye Yanga
udabada gazi tu siku boja usijaliDaaah mood yote imekata yaniii,daah npo naubembeleza moyo utulie na usahau kwa muda,maana ss hii ndo only option imebaki malalamiko yetu km tumefungiwa ktk chumba tunapiga kelele tu na wakutusikia hayupo. Nataman ata kwny web yao sitak kuingia kila muda😂😩😂 nmekoma mimi
Jobless unalala kwa raha gani😂usiku bwema jabadi
oya umepona mafua😆😆dibefajaje
Duh mbona tunasimangwa sana majoblessJobless unalala kwa raha gani😂
nalala hivohivo tu coz mwisho wa siku lazima maisha yaendeleeJobless unalala kwa raha gani😂
wameita kwenye portal sioMDA & LGA wameita watu uko....usaili mtandaoni, ngoja tusubiri kupangiwa vituo
Mbona me sioni mkeka ndugu yanguMDA & LGA wameita watu uko....usaili mtandaoni, ngoja tusubiri kupangiwa vituo
kwenye portalMbona me sioni mkeka ndugu yangu
Oooh sawa sawakwenye portal
hapo kwa mujibu wa maofisa utumishi wa jamii forum mambo si mabaya ila ikichenji sasa ikawa not selected for oral hapo inakua denja.. 🤣 🤣Hivi na mimi niendelee kuwa na matumaini? Au ndo ilishakua baba jeni BYE BYEEEEE,maana kwenye app status inasema Selected for oral lakini web inasema Shortlisted
Yap...ingia kwenye acc yakowameita kwenye portal sio
🤣🤣🤣🤣 Duuh hatar sana, yaani kila siku nilikua naingia sielewi elewi yan sas hapo karoho kataanza kudunda dundahapo kwa mujibu wa maofisa utumishi wa jamii forum mambo si mabaya ila ikichenji sasa ikawa not selected for oral hapo inakua denja.. 🤣 🤣
Me naona tuendelee kusubiri pdf mambo ya status hay ni kujipa tu preshaHivi na mimi niendelee kuwa na matumaini? Au ndo ilishakua baba jeni BYE BYEEEEE,maana kwenye app status inasema Selected for oral lakini web inasema Shortlisted
Hayo mambo yana ukweli asilimia 99.99.Me naona tuendelee kusubiri pdf mambo ya status hay ni kujipa tu presha