😂😂😂Unakuta not selected ya maandishi mekundu au selected for nullwashenzi sana hawa jamaa yani siku umeamka zako una bando la kutosha kila ukiangalia placement huoni kitu basi unajisemea ngoja nichungulie status unakuta kitu kilishabadilika siku nyiiingi.🤣 🤣
acha tu ndugu yangu mie kihelehele chote kiliisha nilikua mdogo kama pilitoni😂😂😂Unakuta not selected ya maandishi mekundu au selected for null
🤣🤣Pole ndugu haya ni mapito tu, siku moja huko mbele utakua unayakumbuka umekaa ofisini unacheka tuacha tu ndugu yangu mie kihelehele chote kiliisha nilikua mdogo kama pilitoni
kwa utumishi hii aisee sjui.labda kada zingine uko lakini electrical sidhani maana wana kada zao wanazunguka humo humo kila mkeka..🤣🤣Pole ndugu haya ni mapito tu, siku moja huko mbele utakua unayakumbuka umekaa ofisini unacheka tu
Ya mungu mengi mtuwang One Day Yes🤗kwa utumishi hii aisee sjui.labda kada zingine uko lakini electrical sidhani maana wana kada zao wanazunguka humo humo kila mkeka..
Kwamba[emoji41][emoji102]Utumishi kama Utumishi ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ama kweli utumishi ni utumishi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaani utumishi ni utumishi kweli kweli , utumishi wamejua kuwatumikisha jobless kulogin kwenye web mpaka wamekuwa watumishi wa kulogin kwenye web , yaani jobless wamekuwa watumishi bila Placement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba[emoji41][emoji102]
Sasa tunafanyaje ndo kazi iyo iliyobaki j2 mm ndo sku ambayo siingii sana kweny website yao.Kuanzia kesho sasa adi picha zao natizama[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaani utumishi ni utumishi kweli kweli , utumishi wamejua kuwatumikisha jobless kulogin kwenye web mpaka wamekuwa watumishi wa kulogin kwenye web , yaani jobless wamekuwa watumishi bila Placement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa tunafanyaje ndo kazi iyo iliyobaki j2 mm ndo sku ambayo siingii sana kweny website yao.Kuanzia kesho sasa adi picha zao natizama
Nimeenda kuichungulia ss ivi status nikaiambia ni marufuk kubadilika..daah hii vita ni balaa😂washenzi sana hawa jamaa yani siku umeamka zako una bando la kutosha kila ukiangalia placement huoni kitu basi unajisemea ngoja nichungulie status unakuta kitu kilishabadilika siku nyiiingi.🤣 🤣
Hakuna kukata tamaa mpaka kielewekeNimeenda kuichungulia ss ivi status nikaiambia ni marufuk kubadilika..daah hii vita ni balaa😂
Sawa mkuu,kila hatua dua hope wa day na sisi tutatoa shuhuda umuHakuna kukata tamaa mpaka kieleweke
Ulifanya interview lin?na ilikuwa kada gani?Sawa mkuu,kila hatua dua hope wa day na sisi tutatoa shuhuda umu
Tar 15.1 mwaka huu,Kada ya afisa habariUlifanya interview lin?na ilikuwa kada gani?
MmmmmmmmhNot selected for oral wakati kwenye website 🕸status selected for oral