Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
January ya mwaka huuVip we ulifanya lini usaili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January ya mwaka huuVip we ulifanya lini usaili
Nadhani mpk Idd ipite ndio watatoaNaona utumishi wamegoma kabisa kutoa Pdf,..
kuwa na amani mkuu mambo yatakaa sawa tuBaba jeni kivipi[emoji41]
Nakubalikuwa na amani mkuu mambo yatakaa sawa tu
duh....Jobless tunapita magumu mno....!!!!Nadhani mpk Idd ipite ndio watatoa
Alafu majina kumi tu,..daah!Nadhani mpk Idd ipite ndio watatoa
Yaani wakiona comment kama hii wanakuchora tu,..!! mtawafanya nn labda kwamfano hata wasipotoa!!duh....Jobless tunapita magumu mno....!!!!
Mama(Rais) anavunja matumaini ya vijana kwa mwendo huu wa ukimya ....
Wasiite watu usaili kama wanataka wasipangiwe cha kufanya ....Yaani wakiona comment kama hii wanakuchora tu,..!! mtawafanya nn labda kwamfano hata wasipotoa!!
Ni kama unajitilisha huruma na kuwaogopesha na kiuhalisia huwa hawapangiwi!!
Lipo wapi?kuna pdf hongereni mliopata kazi
Stressedkuna pdf hongereni mliopata kazi
Hamtaki kula eid kwenu?Wakuu kwa anaejua sababu za Uhamiaji kuahirisha vijana kuripoti kesho mpaka tarehe 15 tafadhari anijuze
Mbona hamna pdf yoyoteDuuuh kuna PDF la kinyonge huko halafu limebeba mpaka watu wa JANUARY 2023 mpaka nimeogopa🤭
Pdf liko wapi au ndo umeshaanza Ku undergo Schizophrenia.Duuuh kuna PDF la kinyonge huko halafu limebeba mpaka watu wa JANUARY 2023 mpaka nimeogopa[emoji2960]
Duuuh kuna PDF la kinyonge huko halafu limebeba mpaka watu wa JANUARY 2023 mpaka nimeogopa🤭