😂😂😂Unakuta not selected ya maandishi mekundu au selected for nullwashenzi sana hawa jamaa yani siku umeamka zako una bando la kutosha kila ukiangalia placement huoni kitu basi unajisemea ngoja nichungulie status unakuta kitu kilishabadilika siku nyiiingi.🤣 🤣