πππππWe ni genius mkuuDuuu, kumbe nilitembeza stiki za kufa mtu ee, top 5 sio mchezo
Hengera Mrs jobless ππππHongera[emoji1431]
Sisi 9 pamoja na yule wa Zanzibar. Kikubwa zaidi hii nafasi nliopo sikutegemea aisee, Mungu ni mkuu, kama kawaida kwenye pdf nmeanza katikati kwa walio selected sijajiona nashtuka mbona hivi sipo kumbe nipo bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππLazima wote tupate kazi aseehAhsante sana mkuu.
Ipo siku tutakutunuku taji la heshima humu, unapigana bega kwa bega na jobless wenzio hadi sio poa[emoji3][emoji3][emoji3]
Tathmini/utafiti kama ule wa placements kutoka siku ya j4[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Great greatMkuu kwa Hawa utumishi ukipita humu hawachomoki mzee narudi kusema hawachomoki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Picha lilianza huamini hata kama NAOT watakuita kwenye written, wakakuita. Likaja kwenye written watatoa maeneo gani, ikafanyika huku matumaini ni ya kusuasua, taarifa za matokeo zikawa na hisia itakuwa imekuwa kama inavyokuwaga, likaishia umepita kwenda Oral.
Bado season II, itakuwa kwenye kusubiri PDF baada ya kuchoka na namna status itakuwa ikibadilika kwenye akaunti, episode ya mwisho kabisa jina litaonekana kwenye placement.
Thanks so much I have alot to learn be blessedKaribu[emoji1431]
Hata TANZANIA AIRPORT AUTHORITY (TAA) hawajatoa placements hadi sasa toka usaili wa mahojiano ufanyike tar 17 sep 2022.Mimi nasubiri shortlist NAOT, MNH, ORCI
ππππHahhhh jobless umepambana vyakutosha hii ni yetu mzee we pita mule nilivyokwambia hawachomoki na make sure kila kitu ukisoma kitafutie point tano kwenda juu.PDF nilikuwa bado sijaiona.
Kumbe battle halikuwa la kitoto aisee.
Sasa target yangu hapa ni angalau niingie kanzidata, then mengine wataanua wenyewe
Kila la heriMrejesho:
Kwakweli ni kwamba mimi kwa mara ya kwanza nilifika utumishi kwaajili ya written interview. Niseme tu nilifika Dodoma saa saba usiku kutokana na mazingira ya kusafiri kuwa magumu.Mara baada ya kufika sijuwa na sehemu ya kufikia,hivyo ilinilazimu nikeshe barabarani sehemu ambapo watu wapo muda wote.Asubuhi nilinunua maji nikanawa uso na kuchukua toyo mpaka UDOM.
Nilipofika nilihamaki uwingi wa watu! Nikasema Mungu hiki ni nini? Nikajisemea nimekuja kufanya nn huku? Nikiwa ninaonekana mshamba na upweke nisiye na hata rafiki wa kujadili naye chochote nikiwa nimesimama pembeni ya lecture theatre 1 kule college of business and education.
Baada ya muda walifika wasimamizi wakaanza kagua vyeti,nikafoleni nikaingia nikiwa na unyonge,ushamba,uchovu na usingizi mkubwa huku nikiwaza kuwa I am just trying.
Kweli paper ikaletwa,tukaelekezwa then tukafanya.Kiukweli ilikuwa NGUMUUUUUUUU! Ila inafanyika kwa wale wasomi na wafuatiliaji wazuri wa sera ya serikali katika utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu.Ufanyaji wangu ulikuwa ni wa kujikongoja,huku nikihakikisha kila swali nagusa.
Nilijibu short and clear. Huku nikiwa nimekata tamaa. Ila kuna wanaume na wanawake haswaa waliomba hadi karatasi ya pili.Nilitoka na kuwahi stand nikapata chochote na kuanza safari ya kurudi kijijini kwetu nikiwa sina matumaini Yoyote.
Matokeo:
Leo nimeshikwa butwaa et nipo SELECTED FOR ORAL! Sikutegemea kabisa.Msimamo wangu ni kuwa nitarudi tena Dodoma kuwasikiliza maboss wakandaji live,nitakwenda KUJARIBU hiyo Oral.Sijawahi simama kwaajili ya Oral ila niwakute hukohuko hao wakandaji.Nikikosa basi,nitashukuru Mungu kwa kila kitu.
Kila lakher kwa woteeee mnaopigania huko,Mungu awafungulie njia.
Mfano Kama mtu hana professional experience wala hakuwah kufanya intern ya fani aliyosomea, let say alimalizaga chuo akaendela na biashara zake tu.Kea uzoefu wangu na wenzangu ambao wana kazi sasa hivi
Kwanza vaa vizuri, hapa namaanisha uwe smart, kuanzia juu hadi chini. Suti angalau au kama huna basi ata shirt official na surual plus viatu vya kufunika sio sandal.
Swali la kwanza always linakuwaga tell us about yourself, hapa utaongea ur introduction, ur education inshort atleast anzia level ya chuo, na professional experience. Ila wakisema ur education history and professional history, hapa tell about ur education background inshort labda kuanzia primary till where u are na professional background sehem ulipofanyia kazi na internship. Nakazia inshort, ukitaka kuelezea kingereza kitakutupa mkono. Mimi ndivyo najua hivi.
Experience utaelezea ile uliyofanya field hizi junior posts hawaangalie experience mkuu wanaangalia knowledge uliyonayo kuendana na mazingira ya kazi so experience kwa junior level haina nafasi sanaMfano Kama mtu hana professional experience wala hakuwah kufanya intern ya fani aliyosomea, let say alimalizaga chuo akaendela na biashara zake tu. Alaf akafanya interview kwa mara ya kwanza akabahatika kufika mpaka oral! Hpo kweny kuelezea kuhusu professional experience anapaswa kusema nn?
Jobless kumbe genius afu hajiami ukute ndo namba moja hapoπππππWe ni genius mkuu
Jobless kumbe genius afu hajiami ukute ndo namba moja hapoπππππWe ni genius mkuu
Piga shule mzee kisawa sawaKwa masikitiko makubwa, nimeanguka katika usahili wa tatu,. Bunge, NAOT & HESLB. Ngoma ngumu. Mwaka huu ndo nimeanza apply psrs toka kuhitimu 2015.
Graph inapanda kwa rate ya taratibu sana, hii ndo inanipa tumaini. Bado nasubiri sahili nne; TPDC, ASA, MDA's&LGA's na TRA. Natumaini ntatoboa tu moja kati ya hizi zilizobaki, niachane sasa na maandalizi zima moto.
Wale mliofika hatua ya "Oral" niwatakie maandalizi mema, mkawe na "confidence" mbele ya pannel, mfanye vyema na kupata nafasi katika utumishi.
πππππHahhhh eeeh jobless pro max ana akili kumbeJobless kumbe genius afu hajiami ukute ndo namba moja hapo