Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

duh....Jobless tunapita magumu mno....!!!!
Mama(Rais) anavunja matumaini ya vijana kwa mwendo huu wa ukimya ....
Yaani wakiona comment kama hii wanakuchora tu,..!! mtawafanya nn labda kwamfano hata wasipotoa!!

Ni kama unajitilisha huruma na kuwaogopesha na kiuhalisia huwa hawapangiwi!!
 
Yaani wakiona comment kama hii wanakuchora tu,..!! mtawafanya nn labda kwamfano hata wasipotoa!!

Ni kama unajitilisha huruma na kuwaogopesha na kiuhalisia huwa hawapangiwi!!
Wasiite watu usaili kama wanataka wasipangiwe cha kufanya ....
 
Duuuh kuna PDF la kinyonge huko halafu limebeba mpaka watu wa JANUARY 2023 mpaka nimeogopa🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…