Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kumbe!!! Unasubiri Kwa mda gani
inategemea na uhakiki wa vyeti huko necta n mwezi mu1 na kuendelea.....kuna jamaa yangu wenzake wameitwa baada ya mwez mu1 yeye bado hajaitwa mwez wa pili huu na mshahara hajapata na aliacha kazi kule alikokuwa sijui hakujua kama itachelewa so sad...ngoja nisubir zam yang
 
Duh aise
 
Kama mshahara unasoma hata ifike miezi 6 poa tu
 
Nimekutana na hii kulogin kwenye app sjui ndo wapo wanafanya nini🤨
 

Attachments

  • Screenshot_20240405-140812.jpg
    168.8 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…