Makabi Lilepo
Member
- May 28, 2023
- 95
- 148
Ndugu zangu hii kusubiri kwa Utumishi kwakweli ni Kisanga. Yaani Nimeshaingia zaid ya mara 10 kwa dakika hadi ushakuwa ulevi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ww mara 10 me nahs mara 100 Kwa cku ya leoNdugu zangu hii kusubiri kwa Utumishi kwakweli ni Kisanga. Yaani Nimeshaingia zaid ya mara 10 kwa dakika hadi ushakuwa ulevi
Unajua sail za Utumishi zinaenda miezi sita mpk saba au mwaka mzima mpaka kuitwa kazini inamaana wakiweka mwakani kuja kuitwa kazini atakuwa kashaingia madarakani hapo atakuwa hajalenga kampeni yake....!!!labda wanajipanga Tuzidi kuomba Mungu ...Ukimya huu labda kunaweza kutoa majibu mawili matumain au kutokuwepo matumaini...Kuna mdau aliandika kwamba mwaka huu Placement za utumishi zitakuwa chache tofauti na mwaka jana ,na hiki kinaenda kuthibitika , kwa trend hii
Hako huwa ka ulevi hasa ukiwa na matarajio ila placements nadhani mpaka Idd ipite endelea kuvumiliaNdugu zangu hii kusubiri kwa Utumishi kwakweli ni Kisanga. Yaani Nimeshaingia zaid ya mara 10 kwa dakika hadi ushakuwa ulevi
Mkuu wewe tayari upo kwenye mfumo nini? Maana jobless mwaka mzima kusubiria utamuua kwa stress kama kwa siku anaingia kwenye web ya utumishi mara 10 vipi mwaka!!!.Unajua sail za Utumishi zinaenda miezi sita mpk saba au mwaka mzima mpaka kuitwa kazini inamaana wakiweka mwakani kuja kuitwa kazini atakuwa kashaingia madarakani hapo atakuwa hajalenga kampeni yake....!!!labda wanajipanga Tuzidi kuomba Mungu ...Ukimya huu labda kunaweza kutoa majibu mawili matumain au kutokuwepo matumaini...
Naona sasa jobless tumepigwa na jua sasa tunapozwa na mvua..Tusikate Tamaa
🤣🤣daaah mbn mwaka jana pamoja na eid mikeka ilikuwep naskia..mwaka huu wanafanya kusud tuHako huwa ka ulevi hasa ukiwa na matarajio ila placements nadhani mpaka Idd ipite endelea kuvumilia
Kimulimuli kama kimulimuli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mkiona hayazimi kimulimuli muda mrefu hivi mjue hayana kitu. 🤣 🤣
Zamani kimulimuli nilikuwa kinakaa siku 5 tu kinazimwa.mkiona hayazimi kimulimuli muda mrefu hivi mjue hayana kitu. 🤣 🤣
hayana kitu yaliweka hayo majina matano kuchangamsha webu lakini kiukweli ni kwamba hayana jipya na sytem lao. 🤣 🤣Kimulimuli kama kimulimuli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Si kwa unaa huu🤣🤣na haka kamvua jamani ujikute kwenye pdf raha yake hadi ndani ya mifupa.kesho kimbinyiko la saa 11 asubuhi 🤣 🤣
yaani siku ndo nijikute kwenye pdf kipindi tren za mwendokasi zimeanza mbona watashangaa.yaani ile wamemaliza kuaplodi tu wanashangaa mtu huyu hapa...Si kwa unaa huu🤣🤣
😂😂😂😂😂daaah,hawajui vijana tulivyo stressedyaani siku ndo nijikute kwenye pdf kipindi tren za mwendokasi zimeanza mbona watashangaa.yaani ile wamemaliza kuaplodi tu wanashangaa mtu huyu hapa...
Samahani, wewe mwanamke?😂😂😂😂😂daaah,hawajui vijana tulivyo stressed
😀😀😀🤣🤣daaah mbn mwaka jana pamoja na eid mikeka ilikuwep naskia..mwaka huu wanafanya kusud tu
Hawa PSRS ukiwawaza sana unaweza kupata Ugonjwa usiokuwa na tiba Wanakela sanaa...Mkuu wewe tayari upo kwenye mfumo nini? Maana jobless mwaka mzima kusubiria utamuua kwa stress kama kwa siku anaingia kwenye web ya utumishi mara 10 vipi mwaka!!!.
Ila majobless Bora aishiwe kila kitu ila sio bandle
kuna miez ya kusubir tena hata baada ya kupanda kimbinyikona haka kamvua jamani ujikute kwenye pdf raha yake hadi ndani ya mifupa.kesho kimbinyiko la saa 11 asubuhi 🤣 🤣
Cha muhimu umetoka kwenye pdf na barua unayo.hiyo miezi sio migumu sana kama kusubiri pdf na mbilinge za kutoboa oral yao mkuu.kuna miez ya kusubir tena hata baada ya kupanda kimbinyiko