Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna mdau aliandika kwamba mwaka huu Placement za utumishi zitakuwa chache tofauti na mwaka jana ,na hiki kinaenda kuthibitika , kwa trend hii
Unajua sail za Utumishi zinaenda miezi sita mpk saba au mwaka mzima mpaka kuitwa kazini inamaana wakiweka mwakani kuja kuitwa kazini atakuwa kashaingia madarakani hapo atakuwa hajalenga kampeni yake....!!!labda wanajipanga Tuzidi kuomba Mungu ...Ukimya huu labda kunaweza kutoa majibu mawili matumain au kutokuwepo matumaini...
Naona sasa jobless tumepigwa na jua sasa tunapozwa na mvua..Tusikate Tamaa
 
Mkuu wewe tayari upo kwenye mfumo nini? Maana jobless mwaka mzima kusubiria utamuua kwa stress kama kwa siku anaingia kwenye web ya utumishi mara 10 vipi mwaka!!!.
Ila majobless Bora aishiwe kila kitu ila sio bandle
 
mkiona hayazimi kimulimuli muda mrefu hivi mjue hayana kitu. 🤣 🤣
Kimulimuli kama kimulimuli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
hayana kitu yaliweka hayo majina matano kuchangamsha webu lakini kiukweli ni kwamba hayana jipya na sytem lao. 🤣 🤣
 
Mkuu wewe tayari upo kwenye mfumo nini? Maana jobless mwaka mzima kusubiria utamuua kwa stress kama kwa siku anaingia kwenye web ya utumishi mara 10 vipi mwaka!!!.
Ila majobless Bora aishiwe kila kitu ila sio bandle
Hawa PSRS ukiwawaza sana unaweza kupata Ugonjwa usiokuwa na tiba Wanakela sanaa...
Mapambio wanayoimba kwenye media ukija ground ni zero....
Cha zaidi Wanatengeneza Posho na Kutukejeli vijana tu...
 
Back
Top Bottom