Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kesho unaanza...sijui umeme ukikata itakuaje
Ukikata ukiwa katika Chumba Cha mtihani umeanza, system ina save majibu yako automatic ukirudi unaanzia pale ukipo ishia maana system inakuwa ina display swali moja baada ya jingine ukiisha muda wa suali ndo inakuja lingine,
Sasa hiyo nayo haijakaa sawa maana sizani kama kutakuwa na option ya ku-back ili ubadilishe maswali na ku-skip swali kama huliwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…