El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kumbe walikua wanaweka la call for interview.wameshaweka tayarHayo ndo mambo sasa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe walikua wanaweka la call for interview.wameshaweka tayarHayo ndo mambo sasa,
Daaah! Naona unapambana sana siyo kama wavaa viatu vya manyoya!!!Ndio
Hizi strees zitakuja kuua mtukumbe walikua wanaweka la call for interview.wameshaweka tayar
wanaupdate number na maeneo yakufanyia wasailiwa kupitia a/c zao kesho kitengo cha IT wanaaza na online paper.....Nimekutana na hii kulogin kwenye app sjui ndo wapo wanafanya nini🤨
Mi tayari nna genge🤣inamaana yusto utumishi wakikukabidhi genge kwa jinsi hali ilivyo sasa utalikataa 🤣 🤣
Oyaa[emoji3]utumishi tufungulieni hata magenge basi jamaniiiii.dahhhhh
😅 Wanazinguakumbe walikua wanaweka la call for interview.wameshaweka tayar
Duuh hatarwanaupdate number na maeneo yakufanyia wasailiwa kupitia a/c zao kesho kitengo cha IT wanaaza na online paper.....
Daah wajigeuze taratibu wasije cheza na ile selected for oral kwny acc yng🤣Nimekutana na hii kulogin kwenye app sjui ndo wapo wanafanya nini🤨
Dah wanasema wakicheza nayo inakuwa baba Jen bye byeDaah wajigeuze taratibu wasije cheza na ile selected for oral kwny acc yng🤣
Eeh bhana wasije enda na selected yngu aiseee bora ikae ivo ivo niish kwa hopes🤣Dah wanasema wakicheza nayo inakuwa baba Jen bye bye
🤣🤣🤣Kweli ile haitakiwi kuguswa kabsaaaDaah wajigeuze taratibu wasije cheza na ile selected for oral kwny acc yng🤣
nambieeOyaa[emoji3]
Mungu asaidie sie tuliofika oral tuonekane aisee hayo mambo online changamoto tu mwanzoni labda hapo baadaeKesho unaanza...sijui umeme ukikata itakuaje
Ukikata ukiwa katika Chumba Cha mtihani umeanza, system ina save majibu yako automatic ukirudi unaanzia pale ukipo ishia maana system inakuwa ina display swali moja baada ya jingine ukiisha muda wa suali ndo inakuja lingine,Kesho unaanza...sijui umeme ukikata itakuaje
Bin taaabaaanJobless wako hoi!