ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Imebadilika rangi kote siyo Kama ya awali isipokuwa neno SelectedHaiko sawa kivipi?
Dah!! Mwanangu andaa nauli ya kimbinyiko tu.Imebadilika rangi kote siyo Kama ya awali isipokuwa neno Selected
π€£π€£Acha kumpa presha bure mwanetu, mm mwenyewe App haifunguki na Web kwenye my application kuna rangi tofauti na ya siku zote kwenye kareceved kangu japo shortlisted yangu haijaguswa, ila nadhani ni haya ma online test yao haya maana kabla ya haya sidhani kama ilishakua mabadiliko ya hivi JOBLESS WENZANGU TUTULIEEπ€£π€£π€£Dah!! Mwanangu andaa nauli ya kimbinyiko tu.
Hapa masijala ya wazi ni uhakika.
Aisee Mkuu InshaAllah na iwe hivoDah!! Mwanangu andaa nauli ya kimbinyiko tu.
Hapa masijala ya wazi ni uhakika.
Au wananibadilishia status yanguππππ€£π€£Acha kumpa presha bure mwanetu, mm mwenyewe App haifunguki na Web kwenye my application kuna rangi tofauti na ya siku zote kwenye kareceved kangu japo shortlisted yangu haijaguswa, ila nadhani ni haya ma online test yao haya maana kabla ya haya sidhani kama ilishakua mabadiliko ya hivi JOBLESS WENZANGU TUTULIEEπ€£π€£π€£
Mm iyo app toka jana wanasem ina matengenezo..web ndo wamekuja na mbwembwe mpya,hawatoi mkeka wanazugazuga tuWebsite na apps Kwangu havifunguki
Tumeamka asee ni mwendo wa kuchungulia mikeka kwenye website kila baada ya dakika 10[emoji3][emoji3][emoji3]Kumekucha jobless [emoji17]
Na makucha yake jobless mwenzanguKumekucha jobless π
ππππ.......Wanaukimya ambao ukiutafakari mara mbili mbili unaweza kukosa usingizi...!!!Mm iyo app toka jana wanasem ina matengenezo..web ndo wamekuja na mbwembwe mpya,hawatoi mkeka wanazugazuga tu
Ni ushauri tu achana kuchungulia mkeka maana labda mpk Idd ipite maana wakitoa leo mkeka barua utaenda kuchukua lini na katika kuna sikukuu kumbuka unatakiwa uichukue ndani ya siku sabaTumeamka asee ni mwendo wa kuchungulia mikeka kwenye website kila baada ya dakika 10[emoji3][emoji3][emoji3]
Sio lazima mkuu mbona kuna mikeka huwa inatoka ijumaaNi ushauri tu achana kuchungulia mkeka maana labda mpk Idd ipite maana wakitoa leo mkeka barua utaenda kuchukua lini na katika kuna sikukuu kumbuka unatakiwa uichukue ndani ya siku saba
Hongera kwa walio lamba asali Pinacoladee vip umekumbukwa??Kuna mkeka uko
Haya wawahi kimbinyikoHongera kwa walio lamba asali Pinacoladee vip umekumbukwa??