Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah!! Mwanangu andaa nauli ya kimbinyiko tu.

Hapa masijala ya wazi ni uhakika.
🤣🤣Acha kumpa presha bure mwanetu, mm mwenyewe App haifunguki na Web kwenye my application kuna rangi tofauti na ya siku zote kwenye kareceved kangu japo shortlisted yangu haijaguswa, ila nadhani ni haya ma online test yao haya maana kabla ya haya sidhani kama ilishakua mabadiliko ya hivi JOBLESS WENZANGU TUTULIEE🤣🤣🤣
 
Au wananibadilishia status yangu😂😂😂
 
Tumeamka asee ni mwendo wa kuchungulia mikeka kwenye website kila baada ya dakika 10[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni ushauri tu achana kuchungulia mkeka maana labda mpk Idd ipite maana wakitoa leo mkeka barua utaenda kuchukua lini na katika kuna sikukuu kumbuka unatakiwa uichukue ndani ya siku saba
 
Back
Top Bottom