Uwezekano ni asilimia 0.005vp leo tutegemee pdf au..??
Hapana kuanzia ijumaa ukovp leo tutegemee pdf au..??
dahh basi ngoja niingie youtube tu nimalizie mb zangu..Hapana kuanzia ijumaa uko
😂😂dahh basi ngoja niingie youtube tu nimalizie mb zangu..
Sio poa kabisa. Kuna mwana nimeona kakimbiza written amekua top ila vitendo hajatoboa hata top 3. Amescore ⅓ ya written. Scary!Ndg zetu wa ICT. Vitendo wanakandwa sana aisee. Mungu awatie nguvu
Hyo nimewah kutana nayo. Written nkaongoza practical kikaumana. Asali akailamba mtu mwingineSio poa kabisa. Kuna mwana nimeona kakimbiza written amekua top ila vitendo hajatoboa hata top 3. Amescore ⅓ ya written. Scary!
Moto ni mkali sana chief! Aisee mpaka nimeogopaHyo nimewah kutana nayo. Written nkaongoza practical kikaumana. Asali akailamba mtu mwingine
Sasa unaogopa nn practical inahitaji uwe na mazoezi ya ulichosomea asa IT ni practice zaidi sio theory tu,inabidi kutafuta workshop ya kufanya zoezi kabla ya usailiMoto ni mkali sana chief! Aisee mpaka nimeogopa
When i am sober.......Hapana kuanzia ijumaa uko
aisee ukifuzu kote uko itabidi upigiwe mizinga 🤣 🤣Moto ni mkali sana chief! Aisee mpaka nimeogopa
Naunga mkono hoja 🤣🤣🤣utumishi kama ikiwapendeza andaeni bufee kwa ajili ya majobless pale asharose migiro mungu atawabaliki.AMEN
lakini inategemea na oral pia ukifanya vizuri unaweza ingia hiyo top 5 na ukapataMatokeo ya practical ni muhimu sana...
Placement zinafuata matokeo ya practical...kwahiyo..
Kama walihitaj watu wa5 na ww kweny practical ni wa 7 ...hapo hupat unasubir nyingine
Mwez huu utakua na mikeka mingi tu2hivi kwa hii mikeka iliyotoka majobless wenzangu si ndo mpaka mwezi wa sita.au nyie mnaonaje???
Vibali vya ajira uwa vinatolea kuanzia mwezi wa 4 vya mwaka mzima.Mwez huu utakua na mikeka mingi tu2
Mvuto kwa nan?Vibali vya ajira uwa vinatolea kuanzia mwezi wa 4 vya mwaka mzima.
Ila psrs wamepoteza mvuto jamani