Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vibali vya ajira uwa vinatolea kuanzia mwezi wa 4 vya mwaka mzima.

Ila psrs wamepoteza mvuto jamani
Wamepoteza Mvuto kwa kutotoa pdf au kutenda haki unazungumza Upande upi Kiongozi!!!
Yaliyofanywa kwenye Taasisi usail ni πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Bora mpira urudi Utumishi tu angalau wanafuta Utabaka katika Jamii
 
U

Bora mpira urudi Utumishi tu angalau wanafuta Utabaka katika

Wamepoteza Mvuto kwa kutotoa pdf au kutenda haki unazungumza Upande upi Kiongozi!!!
Yaliyofanywa kwenye Taasisi usail ni πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Bora mpira urudi Utumishi tu angalau wanafuta Utabaka katika Jamii
Kama vile umenena vyema Kiongozi kwakweli kwa upande wa uwazi na haki wako poa sijajua anaongelea kwa mlengwa gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…