zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 779
- 1,527
Wamepoteza Mvuto kwa kutotoa pdf au kutenda haki unazungumza Upande upi Kiongozi!!!Vibali vya ajira uwa vinatolea kuanzia mwezi wa 4 vya mwaka mzima.
Ila psrs wamepoteza mvuto jamani
Yaliyofanywa kwenye Taasisi usail ni 😆😆😆😆
Bora mpira urudi Utumishi tu angalau wanafuta Utabaka katika Jamii