Yeah kitambo sana since last year uzi huu bado wa moto leo nikasema nichungulie kdgo niwasalimu wadauThanks,ulishalamba asali mkuu?
Mwamba hana baya anakula mema ya nchi huko aliko[emoji23]Huyu jamaa uzi wake umeleta impact sana pppte ulipo barikiwa sana
Ngoja tuwe wavumilivu tulichokuwa tunawait Kibali kama kibali kilichotoka kwa Mh.RaisJobless kama jobless kumekucha akili inawaza tu zile tisheti zenye nembo ya bibi na bwana basi na ikawe heri leo watoe pdf nauli ya kimbinyiko ipo kwenye mfuko wa shati
Inamaana kesho asubuhi unaend zko dom?πJobless kama jobless kumekucha akili inawaza tu zile tisheti zenye nembo ya bibi na bwana basi na ikawe heri leo watoe pdf nauli ya kimbinyiko ipo kwenye mfuko wa shati
Waachie pdf kwanza zito kma sample tuoneπNgoja tuwe wavumilivu tulichokuwa tunawait Kibali kama kibali kilichotoka kwa Mh.Rais
Hapo wangeanza na watu wa kazi data (data base) na ambao bado hajaona ama kupangiwa placement kabisa baada ya hapo ndo watangaze kazi mpyaNgoja tuwe wavumilivu tulichokuwa tunawait Kibali kama kibali kilichotoka kwa Mh.Rais
Kweny kutoa matangazo ni Hodari ila placement sasaHapo wangeanza na watu wa kazi data (data base) na ambao bado hajaona ama kupangiwa placement kabisa baada ya hapo ndo watangaze kazi mpya
Acha tuπSpat picha kale kafeeling Cha kukupa jina lko Kwa pdf
Uko wapi?? Naona umepumzisha mtambo uoπhivi pinacoladee simu yako haichemki uko maana yangu mie nimeishika na tambala hapa. π€£ π€£
Asee hakielezeki mkuuSpat picha kale kafeeling Cha kukupa jina lko Kwa pdf
Ata Mimi naona toka asubuh nko onlineπ πSiku ya Leo imekaa kpdf pdf...
π πSiku ya Leo imekaa kpdf pdf...
πππ Leo watalitoa mapema Sana siku nzuri huonekana asubuhiAta Mimi naona tuko asubuh nko onlineπ π
Sanaaa yanii,tatizo hawachelew kuchana mkeka awaSiku ya Leo imekaa kpdf pdf...