Hunter621
Senior Member
- Jul 20, 2016
- 161
- 458
Yeah kitambo sana since last year uzi huu bado wa moto leo nikasema nichungulie kdgo niwasalimu wadauThanks,ulishalamba asali mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kitambo sana since last year uzi huu bado wa moto leo nikasema nichungulie kdgo niwasalimu wadauThanks,ulishalamba asali mkuu?
Mwamba hana baya anakula mema ya nchi huko aliko[emoji23]Huyu jamaa uzi wake umeleta impact sana pppte ulipo barikiwa sana
Ngoja tuwe wavumilivu tulichokuwa tunawait Kibali kama kibali kilichotoka kwa Mh.RaisJobless kama jobless kumekucha akili inawaza tu zile tisheti zenye nembo ya bibi na bwana basi na ikawe heri leo watoe pdf nauli ya kimbinyiko ipo kwenye mfuko wa shati
Inamaana kesho asubuhi unaend zko dom?😂Jobless kama jobless kumekucha akili inawaza tu zile tisheti zenye nembo ya bibi na bwana basi na ikawe heri leo watoe pdf nauli ya kimbinyiko ipo kwenye mfuko wa shati
Waachie pdf kwanza zito kma sample tuone😅Ngoja tuwe wavumilivu tulichokuwa tunawait Kibali kama kibali kilichotoka kwa Mh.Rais
Hapo wangeanza na watu wa kazi data (data base) na ambao bado hajaona ama kupangiwa placement kabisa baada ya hapo ndo watangaze kazi mpyaNgoja tuwe wavumilivu tulichokuwa tunawait Kibali kama kibali kilichotoka kwa Mh.Rais
Kweny kutoa matangazo ni Hodari ila placement sasaHapo wangeanza na watu wa kazi data (data base) na ambao bado hajaona ama kupangiwa placement kabisa baada ya hapo ndo watangaze kazi mpya
Acha tu😂Spat picha kale kafeeling Cha kukupa jina lko Kwa pdf
Uko wapi?? Naona umepumzisha mtambo uo😂hivi pinacoladee simu yako haichemki uko maana yangu mie nimeishika na tambala hapa. 🤣 🤣
Asee hakielezeki mkuuSpat picha kale kafeeling Cha kukupa jina lko Kwa pdf
Ata Mimi naona toka asubuh nko online😅😅Siku ya Leo imekaa kpdf pdf...
😅😅Siku ya Leo imekaa kpdf pdf...
😆😆😆 Leo watalitoa mapema Sana siku nzuri huonekana asubuhiAta Mimi naona tuko asubuh nko online😅😅
Sanaaa yanii,tatizo hawachelew kuchana mkeka awaSiku ya Leo imekaa kpdf pdf...