Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii imenifanya nami niamini ntatokea kwenye pdf ya placement,nilikutana na challenge inayofanana na hii zimepishana kidogo ila nadhani yangu ilikua Kali zaidi..sio muandishi mzuri ila Kuna siku ntawapa story..ila tu jobless wenzangu Kila mmoja kwa Imani yake usimuache Mungu hasa kwenye huzi safari za kuusaka mrija bila kuwa na Mungu kuvuka viunzi ni kazi sana
 
Pole ndg ur time is coming
All the best kwa hizo zilizobaki
 
Na kuna mtu juzi kati kanifanyia hivi na alionesha ujanja na utoto wa mjini mwingiiiii! Sijui jamaa amekuwa selected ama laah!

Ngoja mshamba mie nifike Dodoma J3 na ushamba wangu nitakuwa boyaaaaa na very humble.

Saa hii nadunduliza nauli hapa
 
Amina MKUU
 
Waswahili wanasema "katika harakati za kupambana/kutafuta maisha jitahidi sana usimdharau au kumshusha mtu yeyote bila kujali muonekano wake au uwezo wake" njia nyingine za mafanikio zipo kwa watu unaowadharau au unaokutana nao kwa mara ya kwanza, bad enough wengi wenye element za hivyo hawatoboagi.
 
Na kuna mtu juzi kati kanifanyia hivi na alionesha ujanja na utoto wa mjini mwingiiiii! Sijui jamaa amekuwa selected ama laah!

Ngoja mshamba mie nifike Dodoma J3 na ushamba wangu nitakuwa boyaaaaa na very humble.

Saa hii nadunduliza nauli hapa
Watu wa nature hiyo huwa hawatoboi mzee Yani kwenye interview mtu akijihisi special hawezi kutoboa hata kwa vipi ,unaona kama hapa tunashare experience ndo interview zinataka hivi yani yule unaemdhalau ndo anaweza kuwa na idea ndogo ambayo ikakusaidia
 
Lazima uonekane una kitu unafanya... forget about professional experience sema hata unafanya biashara na unaisimamia mwenyewe.. but if wakikwambia udescribe yourself.. use 3 to 5 minutes to summarize your CV. Education background, skills, na kama hauna experience. Elezea unachofanya kwa muda huo.. na ongezea na kiingereza kwanini wewe uajiriwe na siyo wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…