Kwa masikitiko makubwa, nimeanguka katika usahili wa tatu,. Bunge, NAOT & HESLB. Ngoma ngumu. Mwaka huu ndo nimeanza apply psrs toka kuhitimu 2015.
Graph inapanda kwa rate ya taratibu sana, hii ndo inanipa tumaini. Bado nasubiri sahili nne; TPDC, ASA, MDA's&LGA's na TRA. Natumaini ntatoboa tu moja kati ya hizi zilizobaki, niachane sasa na maandalizi zima moto.
Wale mliofika hatua ya "Oral" niwatakie maandalizi mema, mkawe na "confidence" mbele ya pannel, mfanye vyema na kupata nafasi katika utumishi.