Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa jinsi ulivyofika Dodoma na mazingira yalivyokuwa na kukesha unasoma stand trust hii nafasi unaenda kuichukua cha muhimu ni kumtanguliza Mungu mbele na kujiandaa kwa kupitia Ile Ile Act pamoja na kureview jobs descriptions kapambanie kombe ratio ya 1:3 inakuruhusu kuibuka kidedea.

N.B; nimechojifunza kuandika vingi na kuomba extra sheets sometimes sio tiketi ya kufaulu, PSRS wanataka short and clear na wengi waliojibu short and clear this times wamepita oral. All the best.
Hii imenifanya nami niamini ntatokea kwenye pdf ya placement,nilikutana na challenge inayofanana na hii zimepishana kidogo ila nadhani yangu ilikua Kali zaidi..sio muandishi mzuri ila Kuna siku ntawapa story..ila tu jobless wenzangu Kila mmoja kwa Imani yake usimuache Mungu hasa kwenye huzi safari za kuusaka mrija bila kuwa na Mungu kuvuka viunzi ni kazi sana
 
Kwa masikitiko makubwa, nimeanguka katika usahili wa tatu,. Bunge, NAOT & HESLB. Ngoma ngumu. Mwaka huu ndo nimeanza apply psrs toka kuhitimu 2015.

Graph inapanda kwa rate ya taratibu sana, hii ndo inanipa tumaini. Bado nasubiri sahili nne; TPDC, ASA, MDA's&LGA's na TRA. Natumaini ntatoboa tu moja kati ya hizi zilizobaki, niachane sasa na maandalizi zima moto.

Wale mliofika hatua ya "Oral" niwatakie maandalizi mema, mkawe na "confidence" mbele ya pannel, mfanye vyema na kupata nafasi katika utumishi.
Pole ndg ur time is coming
All the best kwa hizo zilizobaki
 
Hapana mzee inawezekana Kuna Pepa moja mwaka juzi nadhani tulienda udom pale sasa tulikuwa na jamaa zangu mmoja hivi alikuwa anapenda kujitenga sana as unajua wale watu wanaokuwaga na gpa kubwa sana wanaonaga hata hawatakiwi kudiscuss na wengine sasa akawatenga washikaji wakaja maeneo niliyokuwa wanalalamika nikawambia tulie tupitie hizi notes tukapiga msuli fresh Pepa ikaja tukapiga ,ile tumetoka jamaa anakwambia aah Pepa imetoka mule mule na Hawa jamaa wengine wanasema hawaelewi walichojibu ,majibu kuja kutoka yule jamaa alipata 23 mzee na wengine wote wale walienda oral ,kwahiyo hizi mambo usikate tamaa pia usijiamini sana na kuwatenga wengine hata kama umewazidi uwezo
Mimi ikifikaga ishu hizi huwa najishusha hata kwa yule ambae najua nimemzidi uwezo lakini najua lazima kuna kitu lazima atakuwa nacho tu.
Na pia destiny ya mtu haipo kwenye maamuzi yetu ni nature ndio inakuchagulia pakwenda
Na kuna mtu juzi kati kanifanyia hivi na alionesha ujanja na utoto wa mjini mwingiiiii! Sijui jamaa amekuwa selected ama laah!

Ngoja mshamba mie nifike Dodoma J3 na ushamba wangu nitakuwa boyaaaaa na very humble.

Saa hii nadunduliza nauli hapa
 
Hii imenifanya nami niamini ntatokea kwenye pdf ya placement,nilikutana na challenge inayofanana na hii zimepishana kidogo ila nadhani yangu ilikua Kali zaidi..sio muandishi mzuri ila Kuna siku ntawapa story..ila tu jobless wenzangu Kila mmoja kwa Imani yake usimuache Mungu hasa kwenye huzi safari za kuusaka mrija bila kuwa na Mungu kuvuka viunzi ni kazi sana
Amina MKUU
 
Na kuna mtu juzi kati kanifanyia hivi na alionesha ujanja na utoto wa mjini mwingiiiii! Sijui jamaa amekuwa selected ama laah!

Ngoja mshamba mie nifike Dodoma J3 na ushamba wangu nitakuwa boyaaaaa na very humble.

Saa hii nadunduliza nauli hapa
Waswahili wanasema "katika harakati za kupambana/kutafuta maisha jitahidi sana usimdharau au kumshusha mtu yeyote bila kujali muonekano wake au uwezo wake" njia nyingine za mafanikio zipo kwa watu unaowadharau au unaokutana nao kwa mara ya kwanza, bad enough wengi wenye element za hivyo hawatoboagi.
 
Watu wamekandwa mpka wakapika matokeo
Capture%2B_2022-11-04-19-33-17.jpg
 
Na kuna mtu juzi kati kanifanyia hivi na alionesha ujanja na utoto wa mjini mwingiiiii! Sijui jamaa amekuwa selected ama laah!

Ngoja mshamba mie nifike Dodoma J3 na ushamba wangu nitakuwa boyaaaaa na very humble.

Saa hii nadunduliza nauli hapa
Watu wa nature hiyo huwa hawatoboi mzee Yani kwenye interview mtu akijihisi special hawezi kutoboa hata kwa vipi ,unaona kama hapa tunashare experience ndo interview zinataka hivi yani yule unaemdhalau ndo anaweza kuwa na idea ndogo ambayo ikakusaidia
 
Mfano Kama mtu hana professional experience wala hakuwah kufanya intern ya fani aliyosomea, let say alimalizaga chuo akaendela na biashara zake tu. Alaf akafanya interview kwa mara ya kwanza akabahatika kufika mpaka oral! Hpo kweny kuelezea kuhusu professional experience anapaswa kusema nn?
Lazima uonekane una kitu unafanya... forget about professional experience sema hata unafanya biashara na unaisimamia mwenyewe.. but if wakikwambia udescribe yourself.. use 3 to 5 minutes to summarize your CV. Education background, skills, na kama hauna experience. Elezea unachofanya kwa muda huo.. na ongezea na kiingereza kwanini wewe uajiriwe na siyo wengine.
 
Back
Top Bottom