Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 714
- 1,253
Njoen mfanye mishe nyingne mtaam KENGE NYIE mnategemea ajira mtakufa maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me pia nimesoma ila nikaona ni ujinga ambao wazungu walileta achen uoga wa maisha KENGE NYIE ajira zinawafunga AKILI mtakufa na madeniTufanye mishe gani?
Hii nayo ni mishe si tumesoma...
Fanyen biashara yoyote ileTufanye mishe gani?
Hii nayo ni mishe si tumesoma...
Hongera sana mkuu.Nashukuru Mungu awamu hii katika waliomo na mimi nimo[emoji120]
Ulifanya oral lin mkuu?au database mkuu?Nashukuru Mungu awamu hii katika waliomo na mimi nimo[emoji120]
Hongera kwa kulamba asali, panda gari la J2 usiku ufike pale masijala asubuhi uchukue barua siku hy hy uondoke zako. Hakuna ht haja ya pesa ya gesti.Hivi masjala pale weekend wanafungua?
Hongera sanaa Kiongozi ukawe Mtumishi mwema.....Hivi masjala pale weekend wanafungua?
acha tu. sijui watu wanaonaje majina yao..🤣🤣🤣unajarb kusearch jina kwanza
Waamaanisha bado ajira 43000 hazijatolewa kibali😚Ufafanuzi kidogo...Hii statement
Taasisi ambazo zipo chini ya Wizara ya fedha ni zipi....Waamaanisha bado ajira 43000 hazijatolewa kibali
Mkuu nashukuru kwa ushauri ila mie naona very risk kusafiri usiku kwa ajiri ya kuokoa elfu 30 ya lodge Bora usafiri mchana ufike mapema na uanze kufanya utalii wa ndaniHongera kwa kulamba asali, panda gari la J2 usiku ufike pale masijala asubuhi uchukue barua siku hy hy uondoke zako. Hakuna ht haja ya pesa ya gesti.
Sio mbaya mana hy pesa utakayotumia huko utairudishia kupitia mshahara 😂Mkuu nashukuru kwa ushauri ila mie naona very risk kusafiri usiku kwa ajiri ya kuokoa elfu 30 ya lodge Bora usafiri mchana ufike mapema na uanze kufanya utalii wa ndani
Jamaa anataka awaage watoto wa domSio mbaya mana hy pesa utakayotumia huko utairudishia kupitia mshahara 😂
Anataka akanyooshe kiuno baada ya mahangaiko mengi ya ujobless 😂 Ila ndio vzr n lazima ufurahi baada ya kukaa juani muda mrefuJamaa anataka awaage watoto wa dom
TRATaasisi ambazo zipo chini ya Wizara ya fedha ni zipi....
Institute of Rural Development Planning (IRDP)Taasisi ambazo zipo chini ya Wizara ya fedha ni zipi....