Kaizer Agusto
Member
- Jul 20, 2023
- 54
- 110
Lakin kwenye inshu ya taasisi zinazolipwa mishahara na Wizara ya Fedha kwa nnavoelewa Halmashauri zote na Wizara zote.Taasisi ambazo zipo chini ya Wizara ya fedha ni zipi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin kwenye inshu ya taasisi zinazolipwa mishahara na Wizara ya Fedha kwa nnavoelewa Halmashauri zote na Wizara zote.Taasisi ambazo zipo chini ya Wizara ya fedha ni zipi....
Mkuu mtu umeshapambana sana mpk hatua hiyo halafu uanze kupanda tena magari ya usiku kwa ajiri ya kusave cost hapana aisee upe mwili mapumziko maana unachokifata kina thamani zaidi ya hiyo pesaSio mbaya mana hy pesa utakayotumia huko utairudishia kupitia mshahara 😂
Lakin kwenye inshu ya taasisi zinazolipwa mishahara na Wizara ya Fedha kwa nnavoelewa Halmashauri
Halmashauri haipo Tamisemi kweli!!!Lakin kwenye inshu ya taasisi zinazolipwa mishahara na Wizara ya Fedha kwa nnavoelewa Halmashauri zote na Wizara zote.
Hehehe wazee wa cuba tumemuelewaAnataka akanyooshe kiuno baada ya mahangaiko mengi ya ujobless 😂 Ila ndio vzr n lazima ufurahi baada ya kukaa juani muda mrefu
Yah zipo chini ya TAMISEMI lakin mishahara yao inalipwa na HazinaHalmashauri haipo Tamisemi kweli!!!
Wap imetolewa mkuu mbona kwenye site hakuna mpya au unamanisha za janamaajabu mpaka leo wametoa pdf
We una matatzo. Unarusha watu rohomaajabu mpaka leo wametoa pdf
We una matatzo. Unarusha wmaajabu mpaka leo wametoa pdf
Sijawahi kuelewa akili yako maana hii tabia yako ni ya kujirudia rudia sijui unanufaika na nini!!maajabu mpaka leo wametoa pdf
Mm pia ananishangaza sanaSijawahi kuelewa akili yako maana hii tabia yako ni ya kujirudia rudia sijui unanufaika na nini!!
Tutafanyaje ss mkuu,lazima tuwe wapole hamna namna😃naona majobless mpo likizo
hapo mpaka wiki 3 ziishe sasa si umeona walivyojipinda 🤣 🤣 🙌Tutafanyaje ss mkuu,lazima tuwe wapole hamna namna😃
Duuuh yani apo ndo wamejipinda wenyew🤣hapo mpaka wiki 3 ziishe sasa si umeona walivyojipinda 🤣 🤣 🙌
dahh tuwe wapole tu mie nishaanza kuzoea 🤣 🤣Duuuh yani apo ndo wamejipinda wenyew🤣
Daah mm bdo moyo unatapatapadahh tuwe wapole tu mie nishaanza kuzoea 🤣 🤣
Amini kwamba zinakuja, kuna kipindi nilikuwa nasoma huu uzi na kuona kama ndoto kutokana na kupiga usaili kadhaa lakini bado kila mkeka ukitoka chenga, nikasema huwezi jua pengine siku yangu itakujaDaah💔,ila zetu zetu zinakujaaa