Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ata me nilishindwa asee lazma nipite mara kwa mara
🤣 🤣 wanakaadiction flan hivi yaan mtu unaweza ukakaa siku nzima jioni unashtuka mmh labda nimo alafu ukiingia unakutana na picha zinatembea tu.
 
[emoji1787] [emoji1787] wanakaadiction flan hivi yaan mtu unaweza ukakaa siku nzima jioni unashtuka mmh labda nimo alafu ukiingia unakutana na picha zinatembea tu.
Dah acha tu mkuu yaani me nmepiga oral tatu mpaka leo hakuna alieitwa kazini na bado naitwa kuatend interview zingine. Imagine unaenda kwenye usaili uku saili zote za nyuma majibu hayajawahi kutoka.
 
Dah acha tu mkuu yaani me nmepiga oral tatu mpaka leo hakuna alieitwa kazini na bado naitwa kuatend interview zingine. Imagine unaenda kwenye usaili uku saili zote za nyuma majibu hayajawahi kutoka.
Hivi ndio hiyo sababu hawa wapuuzi utumishi ya kwamba Rais alikuwa hajaidhinisha vibali vya ajira mpya walisema kwenye ile press conference yao ?
Maana hata sikusikiliza takataka walizokuwa wanaongea ,
Sasa kama Rais kathibitisha hizo ajira mpya mbona hatuoni changes za kasi ya watu kupata Placement ?
 
Bado napata ukakasi kwenye hilo swala la bajeti kwa sababu kuna taasisi tulizitangulia kufanya usaili ila tayari watu wameitwa kazini. Sasa inamaana bajeti iliyopo inabagua taasisi au me sielewi kabsa. Na inakuwaje wanatangaza kazi wakaki bajeti haipo.
 
Inashangaza sana
 
from budget; mpaka sasa kuna watu 6,326 kwenye database, ajira zilizotakiwa mwaka huu wa fedha 47k, nafasi zilizojazwa ni elfu tatu tu!
 
from budget; mpaka sasa kuna watu 6,326 kwenye database, ajira zilizotakiwa mwaka huu wa fedha 47k, nafasi zilizojazwa ni elfu tatu tu!
Na idadi ya watu database inaongezeka tu.nawaza kwanini hao wasichukuliwe kwanza.
 
from budget; mpaka sasa kuna watu 6,326 kwenye database, ajira zilizotakiwa mwaka huu wa fedha 47k, nafasi zilizojazwa ni elfu tatu tu!
Inamaana umejumuisha na Ajira ambazo zipo Tamisemi...
Utumishi kama Utumishi wanavibali 24,000below...
Kama database inaidadi hiyo ugumu unatoka wapi kuachia mkeka mzima wa watu hao....!!!!
Utumishi wapunguze maneno Mengi.. Waonyeshe Vitendo vitawajenga kiutendaji na Imani kwa Jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…