El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
🤣 🤣 wanakaadiction flan hivi yaan mtu unaweza ukakaa siku nzima jioni unashtuka mmh labda nimo alafu ukiingia unakutana na picha zinatembea tu.Ata me nilishindwa asee lazma nipite mara kwa mara