Ni mda tu ndugu nawe zamu Yako itafika tu mie naamn hvyoacha tu ndugu yangu.hivi nyie mnafanyeje mpaka mnajiautozoom kwenye pdf jaman..??
Wanasem ni mwaka,ila hawaelewek hawaHalafu kumbe database inaishi had mwaka na nusu
ni zaidi hata ya hapo we wala usijaliHalafu kumbe database inaishi had mwaka na nusu
ngoja tusubiri tu ndugu yangu huenda katibu ndo anasaini barua zetu uko..Aiseee binafsi najiuliza Ila Wakati wa Mungu ukifika umefika tu.
😅😅kusign barua napo inachukua time kumbengoja tusubiri tu ndugu yangu huenda katibu ndo anasaini barua zetu uko..
Hichi kitu nimejiuliza inamaana database inakaa muda mrefu kiasi hicho.?Pdf la leo limezoa kuanzia 2022 mpk march 2023...si mchezo...civil technicians 60 wamelamba asali tanroads...
Utumishi oyeee
Amini kaka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kama bado maana yake wakati bado ila utafika tuacha tu ndugu yangu.hivi nyie mnafanyeje mpaka mnajiautozoom kwenye pdf jaman..??
Itakua hivyo...tusikate tamaa...tusubir mzigo wa leoHichi kitu nimejiuliza inamaana database inakaa muda mrefu kiasi hicho.?
Shukran kk.mungu atatukumbuka nasi kwakweli.Itakua hivyo...tusikate tamaa...tusubir mzigo wa leo
AmenShukran kk.mungu atatukumbuka nasi kwakweli.
🤣 🤣 🤣😅😅kusign barua napo inachukua time kumbe
🙏🙏🙏 na iwe ivo..Amini kaka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kama bado maana yake wakati bado ila utafika tu
Watoe pdf nzito kuliko la janaShukran kk.mungu atatukumbuka nasi kwakweli.
vimulimuli vimeshaanza kuzima wanaweza kutoa lingine..Watoe pdf nzito kuliko la jana
Kanzi data inakaa mwaka mmoja, hao wa 2022 maana yake tokea mwaka huo tangazo la kuitwa kazini halikutoka kwa upande wao.......hata mimi kuna placement naisubiri toka 2022 haijatoka!Hichi kitu nimejiuliza inamaana database inakaa muda mrefu kiasi hicho.?
Ndiyo Mkuu bado bila bilaHv kumbe noble hujalamba asali!!