Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Biashara zenyewe ngumu,Biashara ndg umo umo kukimbizana na wagambo wa halmashauri,daah naomb Mungu jmn kabla lesen yang haijaisha mwez wa 5 nami niitwe kazin🥲
 
Hichi kitu nimejiuliza inamaana database inakaa muda mrefu kiasi hicho.?
Kanzi data inakaa mwaka mmoja, hao wa 2022 maana yake tokea mwaka huo tangazo la kuitwa kazini halikutoka kwa upande wao.......hata mimi kuna placement naisubiri toka 2022 haijatoka!
 
Back
Top Bottom