Shukrani Sana mtaalam kwa ufafanuzi na mchanganuo mzuri, nilikuwa nauliza maswali ni ya kazi husika au ni Aptude za kila siku tulizozoea1: unaingia na username na password unayoitumia kwenye account yako ya ajira portal
2: unadakika nne(4) za kusoma instructions
3: baada ya hapo kuna popup message ya kuverify na kuanza mtihan
4: kama haijatokea haina maana kuwa muda wako umesimama, muite msimamizi mapema utatue changamoto hiyo, ukichelewa unaweza kujikuta dakika 20 zimekata
MASHARTI YA MUHIMU
5: Maswali ni 50 dakika ni 60 yaani saa moja, unaruhusiwa ku- submit baada ya nusu saa (30 min)
6: HAIRUHUSIWI KUFUNGUA PAGE NYINGINE, ukiingia system inafungua Full screen, usijaribu kutoka au kufungua new page
7: Unaruhusiwa kuanza na swali lolote kati ya 50
Nimeongelea upande wa ICT , wengine sijui
Maswali ni ya kazi husika sio kama Aptitude test nyingine...Shukrani Sana mtaalam kwa ufafanuzi na mchanganuo mzuri, nilikuwa nauliza maswali ni ya kazi husika au ni Aptude za kila siku tulizozoea
Yaani hata sijajua kinachoendelea hapa ila nimejikuta nafungua uzi nakutana na hii comment nikabaki nacheka tuu 😂😂😂😂😂😂😂yaani siku wakiniita kwenda kuchukua barua naenda na kopo la mikojo lazima mtu aoge pale 🤣 🤣
Maswali ya kuchagua au kujieleza?Maswali ni ya kazi husika sio kama Aptitude test nyingine...
Mfano kama ni IT programming..utakutana na java, c++, python, php n.k..
SobbingJobless kumekucha
IT ni multiple choiceMaswali ya kuchagua au kujieleza?
Wiki mbili pakavu. IT afanye kitu bwanaIT leo apandishe pdf 2 kukaribisha mwezi
Alafu mwaka wa serikali si unaisha July...IT amalize budget ya mwaka huu kwa pdf nzito nzitoWiki mbili pakavu. IT afanye kitu bwana
Mkuu nipo kisemvule nawahi miwa asubuhi rangi 3 ya kuuza kwenye tororiwale wenye ujuzi na mitumba kaanzeni kuagiza mabelo kabisa muanze ujasiliamali.wengine tushaanzaanza kupaka watu rangi kucha uku..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
🤣 🤣 🤣Mkuu nipo kisemvule nawahi miwa asubuhi rangi 3 ya kuuza kwenye torori
🤣🤣🤣🤣🤣 Dah! Sio poa jamani BBC kufanya nn tena?!katibu na yule mwenzie watakua ndio wamemaliza interview yao magic fm sasa naskia wanampango wa kwenda BBC na Aljazeera ndio warudi dodoma kuidhinisha pdf.hiyo ni mpaka christmass...
si wanaenda kutangaza mfumo wa kidigitali🤣🤣🤣🤣🤣 Dah! Sio poa jamani BBC kufanya nn tena?!
Ikitokea mfano katibu akatumbuliwa, atakaeingia atashusha pdf za kutosha ili aonekane anapiga kazsi wanaenda kutangaza mfumo wa kidigitali
Atazitoa wapi? Ajira hakunaIkitokea mfano katibu akatumbuliwa, atakaeingia atashusha pdf za kutosha ili aonekane anapiga kaz
Inamaana nyie maswali yenu,asilimia kubwa yalitoka kwenye job disription?Maswali ni ya kazi husika sio kama Aptitude test nyingine...
Mfano kama ni IT programming..utakutana na java, c++, python, php n.k..