Mkuu endelea kuishi sana[emoji1666]Mwifwa lizingatie hilo swali mzee hilo swali la challenge lipo utalikuta lakini uulizaji wake ndo huwa wanabadilisha tu ndo maana nikakwambia soma challenge na jinsi yakusolve ,kwamfano interview Fulani ya radiation waliuliza utafanya nini endapo itatokea radiation leakage kwenye kifaa (ambayo hii ni moja ya challenge ) kwahiyo hapo walitaka jinsi utasolve hiyo challenge,na interview ya juzi kati wakauliza utaje challenge utakazo kutana nazo wakati unafanya therapy ambayo jibu ndo hizo radiation leakages na mengine
-sasa kwa mfano wewe wa afya unapofanya audit pale kuna changamoto nyingi sana kwahiyo lazima ujue na jinsi yakusolve hizo ,sio afya tu hata wale wa geology
-na challenge zinakuaga zile ishu zinazokwamisha wwe kufanya duty zako kwahiyo kwakuongezea tu zisome hata zisipotoka hutapungukiwa chochote
Kaanze kupiga hadi kazi maalum au overtime[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo naipiga pasi kila siku mzee hii uhakika au nikaripoti tu kazini barua itanikuta huko huko hahhhh
Mimi nimekandwa kaka,kati ya Watu 233 waliokwenda oral ni 3 tuu -yaan 230 tumekandwa kaka.Hilo huwa lipo mkuu, vipi umepita?
DuhMimi nimekandwa kaka,kati ya Watu 233 waliokwenda oral ni 3 tuu -yaan 230 tumekandwa kaka.
Ahsante mkuu tuendelee kuombeanaKila lakher, sisi ni tar 8
πππKaanze kupiga hadi kazi maalum au overtime
Duh post gn hyo mzee yenye huo mkando ndoigeMimi nimekandwa kaka,kati ya Watu 233 waliokwenda oral ni 3 tuu -yaan 230 tumekandwa kaka.
pamoja kiongoziMkuu endelea kuishi sana[emoji1666]
Hii haikwepeki ww undhn ktk nyomi la watu 2900 hwawez chomekea hpo?na nani atahojiIli uchakachuaji ufanyike in between na kuweka watu wao ikiwezakana si unajua izi zama za who knows who
NaamHii haikwepeki ww undhn ktk nyomi la watu 2900 hwawez chomekea hpo?na nani atahoji
Duu poleni sana mkuu, next time utapitaMimi nimekandwa kaka,kati ya Watu 233 waliokwenda oral ni 3 tuu -yaan 230 tumekandwa kaka.
Mtakwimu kakaDuh post gn hyo mzee yenye huo mkando ndoige
Amina kaka,ngoja nijitahidi kujifunza jinsi ya kukimbizana na zile dakika 40.Duu poleni sana mkuu, next time utapita
Kaka hali inatisha,japo tunajifanya hatushituki kama taifa.Hapa Kuna walio maliza mwaka huu.Hii Ina maana jobless wameongezeka huku Ajira zenyewe chache.mno...
Shortlisted haina uhusiano na placement mkuuUnajiamin akat ushaandikiwa shortlisted mkuu π€£ π€£ π€£
ππππ Shortlisted =placementShortlisted haina uhusiano na placement mkuu
Next time bro utafanya vizuriMimi nimekandwa kaka,kati ya Watu 233 waliokwenda oral ni 3 tuu -yaan 230 tumekandwa kaka.
Zikitoka zingine uje upate muongozo humu ,pia usikate tamaaMimi nimekandwa kaka,kati ya Watu 233 waliokwenda oral ni 3 tuu -yaan 230 tumekandwa kaka.
Yaani unanipaga moyo we jamaaππππ Shortlisted =placement
Selected for=kukandwa