Kwahiyo inaonyesha Mh.Waziri alikuwa 😆😆anatania Bungeni kuwa Mama amesainia vibali 46,000....Atazitoa wapi? Ajira hakuna
Yes IT ni kulingana na kaz, lakini yanakuwa yamekazaInamaana nyie maswali yenu,asilimia kubwa yalitoka kwenye job disription?
Ngumu sana,Kwahiyo inaonyesha Mh.Waziri alikuwa 😆😆anatania Bungeni kuwa Mama amesainia vibali 46,000....
Nchi ngumu hiii.....
we ngoja warudi uko kwenye tour yao watatoa bonge la pdf limejaa masuka tupu.. 🤣 🤣Ikitokea mfano katibu akatumbuliwa, atakaeingia atashusha pdf za kutosha ili aonekane anapiga kaz
Km kazi imemshinda apumzike kwanz😃Ikitokea mfano katibu akatumbuliwa, atakaeingia atashusha pdf za kutosha ili aonekane anapiga
Imekaa ya ovyo apa inapita hii🤣yaani na leo naiona kabisa hii ni washh
Leo huenda wakatoaImekaa ya ovyo apa inapita hii🤣
Ngja tuone,kimya kingi kinamshindoLeo huenda wakatoa
pinacoladee si unajua kupika?Ngja tuone,kimya kingi kinamshindo
Najua ilo tu hofu ondoa😃pinacoladee si unajua kupika?
haya fungua mgahawa pdf mpaka christmassNajua ilo tu hofu ondoa😃
tulia wasahau kidogoMkuu T-pain umepoa kaka,stua wanajamvi kidogo kuchangamke kaka😂😂