Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi JF huwa hamna option ya ku'hide au Ku'block comment/ thread ya mtu yeyote yule ambaye hautaki kuona post zake ?

Maana kwenye huu uzi kuna ID natamani kuzifanyia hivo lakini nashindwa.
Click avatar ya mtu ambae hautaki aone comment zake then itakupa option ya ku ignore Fanya kuignore hutaona chochote atakachocomment
 
Yaan, kila nikisoma tangazo la ajira psrs huwq nabak nacheka tu...
Wanasema wanataka watu 5 kuziba nafas kada x..
Mwaka unapita watu hawajaingia...
TAKUKURU waanze kufanya kazi yao kwenye hizo taasis
Daaah naandik nafuta πŸ’”,au basi bhn
 
Utumishi imebaki kivuli tu kwa sasa .

Mwaka jana Tuliitwa interview walikuwa wanahitaji 50 kwa kada yetu basi kwenda Dom tukapiga oral kuita kazini wakaita watu 19 kati ya 50.

Cha ajabu tulifanya oral zaidi ya 100 mpaka leo tunaenda mwezi wa 10 hakuna aliyeitwa kazini.

Mimi nimepoteza imani na utumishi.
 
Kumekucha...
PSRS wanadai hizo tuhuma haziwahusu, Taasisi zilizohitaji hao watu ndio zinakuwa bado hazijajiandaa...
Hapa ndipo kuna gap la kuweka mtoto wa dada, TAKUKURU ingeanza uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…