Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipitishe kwenye hizo hatua za kufanya hivoMbona options ipo...
Click avatar ya mtu ambae hautaki aone comment zake then itakupa option ya ku ignore Fanya kuignore hutaona chochote atakachocommentHivi JF huwa hamna option ya ku'hide au Ku'block comment/ thread ya mtu yeyote yule ambaye hautaki kuona post zake ?
Maana kwenye huu uzi kuna ID natamani kuzifanyia hivo lakini nashindwa.
Unadhani wanakuelewa?! Utoto mwingi sana, sijui na skanka pia inachangia?!Wakuu huu Uzi ueshimiwe, mambo mengine hayo malizaneni huko PM sio kwenye thread hii mnaipotezea mvuto.
No hope at all!Today is gone, lets hope for tomorrow
Yaan, kila nikisoma tangazo la ajira psrs huwq nabak nacheka tu...No hope at all!
Hii ni kweli kabisa...Tusisahau kusoma... mitihani inaendelea...
Ukifika kwenye interview, amini ulichosoma achana na makundi..utapanic na ndio mwanzo wa not selected
Hawa jamaa wanakera sana aisee, dawa ni kuendelea kuwasagia kunguniYaan, kila nikisoma tangazo la ajira psrs huwq nabak nacheka tu...
Wanasema wanataka watu 5 kuziba nafas kada x..
Mwaka unapita watu hawajaingia...
TAKUKURU waanze kufanya kazi yao kwenye hizo taasis
Daaah naandik nafuta 💔,au basi bhnYaan, kila nikisoma tangazo la ajira psrs huwq nabak nacheka tu...
Wanasema wanataka watu 5 kuziba nafas kada x..
Mwaka unapita watu hawajaingia...
TAKUKURU waanze kufanya kazi yao kwenye hizo taasis
Wapi tuwasagie kunguni ssHawa jamaa wanakera sana aisee, dawa ni kuendelea kuwasagia kunguni
Twitter kupitia a/c yao wanaona viongozi au kupitia a/c ya Mama kwenye commentWapi tuwasagie kunguni ss
Hivi inakuwaje unahitaji mtu halaf useme hujajiandaa? Kwanini usijiandae halaf ndio uombe mtu.?Kumekucha...
PSRS wanadai hizo tuhuma haziwahusu, Taasisi zilizohitaji hao watu ndio zinakuwa bado hazijajiandaa...
Hapa ndipo kuna gap la kuweka mtoto wa dada, TAKUKURU ingeanza uchunguzi
TAKUKURU ndio wangetakiwa kutoa jibu... nafasi kapewa nani na kwa mchakato ganiHivi inakuwaje unahitaji mtu halaf useme hujajiandaa? Kwanini usijiandae halaf ndio uombe mtu.?