Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Janja janja nyingi hakuna kitu apaKumekucha...
PSRS wanadai hizo tuhuma haziwahusu, Taasisi zilizohitaji hao watu ndio zinakuwa bado hazijajiandaa...
Hapa ndipo kuna gap la kuweka mtoto wa dada, TAKUKURU ingeanza uchunguzi
Daah kazi ipo jmnHivi inakuwaje unahitaji mtu halaf useme hujajiandaa? Kwanini usijiandae halaf ndio uombe mtu.?
Umewapaniaa haswa🤣TAKUKURU ndio wangetakiwa kutoa jibu... nafasi kapewa nani na kwa mchakato gani
Yani mambo yanaenda ovyo ovyo kabisa,hawako organised wote ivi kwann PSRS isijiendeshe kwa kanuni zake ianishe namna mchakato wao unavyotakiwa, inamaana ata taasisi inayotaka watu basi ndani ya muda fulani labda miezi mitatu zoezi lote liwe limekamilika na watu waitwe kazini. Sio waanze kusubirisha watu wabakiwe na data base tu.Hivi inakuwaje unahitaji mtu halaf useme hujajiandaa? Kwanini usijiandae halaf ndio uombe mtu.?
Mkuu upo kimya sana na sisi wa awamu hii utukumbuk.Hongereni sana mliolamba asali tafadhari msichelewe kufika masijala fika kwa wakati ili kuondoa msongamano pale na kutoa nafasi kwa watumishi wapya ambao wanasubiri bandiko zao nao wapate update zao kwa wakati
Haya mambo ni magumu sana wadau unapata placement unaenda kwenye taasisi husika unafika kule unaambiwa usasubmit vitu vyote vinavyohitajika halafu unaambiwa vitendea kazi kwa ajili ya ofisi yako bado havipo tayari nenda tutakupigia vikiwa tayari, hii nayo ni changamotoYani mambo yanaenda ovyo ovyo kabisa,hawako organised wote ivi kwann PSRS isijiendeshe kwa kanuni zake ianishe namna mchakato wao unavyotakiwa, inamaana ata taasisi inayotaka watu basi ndani ya muda fulani labda miezi mitatu zoezi lote liwe limekamilika na watu waitwe kazini. Sio waanze kusubirisha watu wabakiwe na data base tu.
[emoji41]Mungu atuhurumieMkuu upo kimya sana na sisi wa awamu hii utukumbuk.
Sababu kama taasisi ni kikwazo... TAKUKURU wazichunguze hizo taasisiUmewapaniaa haswa🤣
Haya mambo ni magumu sana wadau unapata placement unaenda kwenye taasisi husika unafika kule unaambiwa una submit vitu vyote vinavyohitajika halafu unaambiwa vitendea kazi kwa ajili ya ofisi yako bado havipo tayari nenda tutakupigia ukiwa tayari, hii nayo ni changamoto
Stress juu ya strees ngoja nikanunue double kick mapema ili nipasue kichwaYani mambo yanaenda ovyo ovyo kabisa,hawako organised wote ivi kwann PSRS isijiendeshe kwa kanuni zake ianishe namna mchakato wao unavyotakiwa, inamaana ata taasisi inayotaka watu basi ndani ya muda fulani labda miezi mitatu zoezi lote liwe limekamilika na watu waitwe kazini. Sio waanze kusubirisha watu wabakiwe na data base tu.
Watakua wametusaidianaona T-pain moderators wamelala nae mbele 🤣 🤣
Jamaa chenga sana yulenaona T-pain moderators wamelala nae mbele 🤣 🤣
Banned 🚫 ya kutoshaJamaa chenga sana yule
Afadhal mana alizidinaona T-pain moderators wamelala nae mbele 🤣 🤣
Utoto unamsumbuaAfadhal mana alizidi
Dah pole sana mkuu.. ilikuwa kada gani hiyoNyie lieni mi nawachora tu. Tokea nifanye oral mwez wa 5 mwaka 2022 mpaka leo hakuna placement! Kama utani ila ndiyo hali halisi
Status inasomaje Hadi leo Mkuu.Nyie lieni mi nawachora tu. Tokea nifanye oral mwez wa 5 mwaka 2022 mpaka leo hakuna placement! Kama utani ila ndiyo hali halisi
Status izi dah Nina selected for oral tokea 2021 mpaka Leo hola zimejazana na hamna kitu, msema kweli pdfStatus inasomaje Hadi leo Mkuu.