Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi inakuwaje unahitaji mtu halaf useme hujajiandaa? Kwanini usijiandae halaf ndio uombe mtu.?
Yani mambo yanaenda ovyo ovyo kabisa,hawako organised wote ivi kwann PSRS isijiendeshe kwa kanuni zake ianishe namna mchakato wao unavyotakiwa, inamaana ata taasisi inayotaka watu basi ndani ya muda fulani labda miezi mitatu zoezi lote liwe limekamilika na watu waitwe kazini. Sio waanze kusubirisha watu wabakiwe na data base tu.
 
Hongereni sana mliolamba asali tafadhari msichelewe kufika masijala fika kwa wakati ili kuondoa msongamano pale na kutoa nafasi kwa watumishi wapya ambao wanasubiri bandiko zao nao wapate update zao kwa wakati
Mkuu upo kimya sana na sisi wa awamu hii utukumbuk.
 
Yani mambo yanaenda ovyo ovyo kabisa,hawako organised wote ivi kwann PSRS isijiendeshe kwa kanuni zake ianishe namna mchakato wao unavyotakiwa, inamaana ata taasisi inayotaka watu basi ndani ya muda fulani labda miezi mitatu zoezi lote liwe limekamilika na watu waitwe kazini. Sio waanze kusubirisha watu wabakiwe na data base tu.
Haya mambo ni magumu sana wadau unapata placement unaenda kwenye taasisi husika unafika kule unaambiwa usasubmit vitu vyote vinavyohitajika halafu unaambiwa vitendea kazi kwa ajili ya ofisi yako bado havipo tayari nenda tutakupigia vikiwa tayari, hii nayo ni changamoto
 
Eeeh Yeleuwiii
Haya mambo ni magumu sana wadau unapata placement unaenda kwenye taasisi husika unafika kule unaambiwa una submit vitu vyote vinavyohitajika halafu unaambiwa vitendea kazi kwa ajili ya ofisi yako bado havipo tayari nenda tutakupigia ukiwa tayari, hii nayo ni changamoto
 
Yani mambo yanaenda ovyo ovyo kabisa,hawako organised wote ivi kwann PSRS isijiendeshe kwa kanuni zake ianishe namna mchakato wao unavyotakiwa, inamaana ata taasisi inayotaka watu basi ndani ya muda fulani labda miezi mitatu zoezi lote liwe limekamilika na watu waitwe kazini. Sio waanze kusubirisha watu wabakiwe na data base tu.
Stress juu ya strees ngoja nikanunue double kick mapema ili nipasue kichwa
 
Back
Top Bottom