Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daaah mmefany nmekimbilia kwnye app fasta ile naingia naambiwa niupdate alooo nikasema kimeumana..but no changes yoyte kwangu niliyoiona
 
Naomba kuuliza ndugu zangu kwa mwenye ufahamu,,,Hivi mfano ni Civil technician ila nimefanya ORAL ya Vocational teacher II ( Plumbing and Pipe fitting) je? Nikikosa hapo naweza kuwekwa database kama nimefaulu Oral na nikapelekwa kwenye taasisi nyingine kama Civil technician
 
Utapata kazi kulingana na level yako ya elimu na ulichosomea. Mfano umesoma diploma ya procurement utapewa kazi yoyote mwenye hiyo elimu anaweza kufanya.

Back
Top Bottom