Assenga_255
New Member
- May 8, 2024
- 2
- 1
ipo siri ndani yakeWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo siri ndani yakeWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Ya kwako ya muda gani iyo selected for oral?Daaah mmefany nmekimbilia kwnye app fasta ile naingia naambiwa niupdate alooo nikasema kimeumana..but no changes yoyte kwangu niliyoiona
JanuaryYa kwako ya muda gani iyo selected for oral?
Angalau wewe wa juzi apaJanuary
Kwamba ndio baba jeni bye bye?hapo kwenye desh ya app ndio majibu yenyewe
Nakuambia. WatatuuaNa sku ndo inaisha ivo...ila awa PSRS duh wamezid mweee😔💔
Miaka miwili placement haijatoka, baba jeni ua wanaandika not selected for oralKwamba ndio baba jeni bye bye?
😃😃😃
Daaah wanatupiga za uso kisawasawa😃Nakuambia. Watatuua
Mi watu nawashangaa sana wanaoamini sjui status wala nini watu tuna selected for oral tangu mwaka Jana mpaka leo hola hakuna Cha placement ukipiga oral achana na status pambana na pdf tu ndo kila kitu.Real status ni pdf tu
😀 😀 😀 😀 😀 sijasema hivyo ila ajiulize kwanini kuna deshKwamba ndio baba jeni bye bye?
😃😃😃
Naomba kuuliza ndugu zangu kwa mwenye ufahamu,,,Hivi mfano ni Civil technician ila nimefanya ORAL ya Vocational teacher II ( Plumbing and Pipe fitting) je? Nikikosa hapo naweza kuwekwa database kama nimefaulu Oral na nikapelekwa kwenye taasisi nyingine kama Civil technician
Nashukuru sana mkuuUtapata kazi kulingana na level yako ya elimu na ulichosomea. Mfano umesoma diploma ya procurement utapewa kazi yoyote mwenye hiyo elimu anaweza kufanya.