Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daaah mmefany nmekimbilia kwnye app fasta ile naingia naambiwa niupdate alooo nikasema kimeumana..but no changes yoyte kwangu niliyoiona
 
Jobless Tusipoteze TUMAINI katika kutafuta ajira aisee ,, ikitokea nafasi umeitwa nenda kapige usahili,, ndipo unajenga experience mbalimbali

Amini kwamba siku yako ipo njiani ,kikubwa kumtanguliza Mungu kweny harakt zetu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza ndugu zangu kwa mwenye ufahamu,,,Hivi mfano ni Civil technician ila nimefanya ORAL ya Vocational teacher II ( Plumbing and Pipe fitting) je? Nikikosa hapo naweza kuwekwa database kama nimefaulu Oral na nikapelekwa kwenye taasisi nyingine kama Civil technician
 
Utapata kazi kulingana na level yako ya elimu na ulichosomea. Mfano umesoma diploma ya procurement utapewa kazi yoyote mwenye hiyo elimu anaweza kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…