Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakubwa kwa mwenye ufahamu, hivi hii kidigatali naweza fanya usahahili popote au lazima kituo nilichopangiwa
 
Dah! Leo ndio inafika mwezi wa sita tangu nifanye oral 9/11, hakuna hata mmoja alieitwa kati ya tuliofanya kwenye kada yetu.
 
Dah! Leo ndio inafika mwezi wa sita tangu nifanye oral 9/11, hakuna hata mmoja alieitwa kati ya tuliofanya kwenye kada yetu.
Vitu km hivi ndio vinakera sana, juzi tu waliita watu kwenye tangazo lao wanasema walifanya usaili kitu kama oct 2022, karibia miaka miwili ndio unaita mtu kazin? Watatue hio shida, ibaki tu watu wa database ndio hata wawe wanachelewa tukiamini wanawatafuta pa kuwapeleka lakin sio kwa nafasi ambazo walishatangaza zipo tayari
 
Kazi ipo sanaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…