No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Zinaajiri ...na hio inasababisha database kujaa bila sababuHAMNA ANAYEHISI TAASISI ZINAAJIRI KIMYAKIMYA?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinaajiri ...na hio inasababisha database kujaa bila sababuHAMNA ANAYEHISI TAASISI ZINAAJIRI KIMYAKIMYA?!
Database ipo na ina majina ya watoto wa wakulima...Nyie usikute majina ya database hayapo na bdo tunasubr
Me siamn mpaka ntakapoona jina languDatabase ipo na ina majina ya watoto wa wakulima...
Sawa msema kweli pdf ila not selected for oral nayo ni msema kweli piaStatus izi dah Nina selected for oral tokea 2021 mpaka Leo hola zimejazana na hamna kitu, msema kweli pdf
Hahaha muanga wa kwanza mimi toka mwaka jana patupu, ngoja tupambane na next episodeSawa msema kweli pdf ila not selected for oral nayo ni msema kweli pia
😃😃😃😃😃😃😃😃Sawa msema kweli pdf ila not selected for oral nayo ni msema kweli pia
Kuweni wavumilivu huku utumishini jambo la kwanza kwa mtumishi wa umma ni uvumilivuIT na leo unauchuna kweli....
Tunavumilia tu, tutafanyaje@utawa
Kuweni wavumilivu huku utumishini jambo la kwanza kwa mtumishi wa umma ni uvumilivu
kama utani vileHivi na leo ndo bye bye mweeee💔💔
Hii principle umeitoa wapi?@utawa
Kuweni wavumilivu huku utumishini jambo la kwanza kwa mtumishi wa umma ni uvumilivu
hawa jamaa sio wazimaDah! Leo ndio inafika mwezi wa sita tangu nifanye oral 9/11, hakuna hata mmoja alieitwa kati ya tuliofanya kwenye kada yetu.
Vitu km hivi ndio vinakera sana, juzi tu waliita watu kwenye tangazo lao wanasema walifanya usaili kitu kama oct 2022, karibia miaka miwili ndio unaita mtu kazin? Watatue hio shida, ibaki tu watu wa database ndio hata wawe wanachelewa tukiamini wanawatafuta pa kuwapeleka lakin sio kwa nafasi ambazo walishatangaza zipo tayariDah! Leo ndio inafika mwezi wa sita tangu nifanye oral 9/11, hakuna hata mmoja alieitwa kati ya tuliofanya kwenye kada yetu.
Kazi ipo sanaaaaaaaaVitu km hivi ndio vinakera sana, juzi tu waliita watu kwenye tangazo lao wanasema walifanya usaili kitu kama oct 2022, karibia miaka miwili ndio unaita mtu kazin? Watatue hio shida, ibaki tu watu wa database ndio hata wawe wanachelewa tukiamini wanawatafuta pa kuwapeleka lakin sio kwa nafasi ambazo walishatangaza zipo tayari
Ukishalamba asali lazima utengenez principles🤣Hii principle umeitoa wapi?
Ogopa ila ni kheri mtu ujue mapema kuliko kutesan uku.Sawa msema kweli pdf ila not selected for oral nayo ni msema kweli pia