Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Waliofanya uptitude test ya utumishi hivi maswali wanayotoa ni multiple choice yote au wanachanganya?
 
Mdau wa Maendeleo T-Pain yupo wapi?? Inaonekana ndo IT ila huwa anaibiwa flash kila akisema atatoa pdf kuja watu hwa mnamuibia flash yake
 
Ndugu zangu JOBLESS OFFICER II mmeamkaje..??

Hii mbinu ya utumishi nimeikubali aisee. Wanataka kutuzoeza kuwa Placement sio lazima ziwahi zinaweza kuchelewa na hauna cha kuwafanya
 
Zilizonifikia Placement Mpaka June. Mwezi May mzima wale mlio na received jiandaeni kwenda Dodoma
 
wanaaza kuachia ......
 

Attachments

  • IMG_20240510_094804.jpg
    329 KB · Views: 5
  • IMG_20240510_094812.jpg
    105.3 KB · Views: 5
  • IMG_20240510_094858.jpg
    273.5 KB · Views: 5
  • IMG_20240510_094849.jpg
    288.9 KB · Views: 5
  • IMG_20240510_094837.jpg
    251.2 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…