The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Mueleze huyo mavumbamakasha hajui hizo mambo hajasikia watu wanaenda huko halmashauri na unatakiwa uvumilivuUkishalamba asali lazima utengenez principles🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mueleze huyo mavumbamakasha hajui hizo mambo hajasikia watu wanaenda huko halmashauri na unatakiwa uvumilivuUkishalamba asali lazima utengenez principles🤣
🤣🤣nacheka kama mazuri miee...ebu nisubir majina ya mwandishi mie uku nako sjui watanichinjaMueleze huyo mavumbamakasha hajui hizo mambo hajasikia watu wanaenda huko halmashauri na unatakiwa uvumilivu
kada yako unaweza ukalamba asali muda wowote naona majina yanatoka kila pdf🤣🤣nacheka kama mazuri miee...ebu nisubir majina ya mwandishi mie uku nako sjui watanichinja
Hawatabiriki...ngj tusubir daftar la wapiga kura🤣kada yako unaweza ukalamba asali muda wowote naona majina yanatoka kila pdf
Ramli zimeanza sasa🤣Pdf kesho uhakika 😂😂😂
Aptitude test...Waliofanya uptitude test ya utumishi hivi maswali wanayotoa ni multiple choice yote au wanachanganya?
Mdau wa Maendeleo T-Pain yupo wapi?? Inaonekana ndo IT ila huwa anaibiwa flash kila akisema atatoa pdf kuja watu hwa mnamuibia flash yake
Yani daah joblessMungu atuone tu asee
Joblessssssss unaona kawaid tu🤣🤣🤣yaani mpaka nimezoea naona kawaida sasa
Sawa na kwanza hakuna namna nyingine😄vijana kuweni wavumilivu wengne tumesubiri mwaka mzma database mpka tukakata tamaa but wakati wa Mungu ndo wakati sahihi
Mmmmmh kazi ipoZilizonifikia Placement Mpaka June. Mwezi May mzima wale mlio na received jiandaeni kwenda Dodoma