Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yaani ile paap nimelamba asali utumishi, ile miezi ya mwanzoni mwanzoni naupa mwili pole . Mtu akija na vishauri vyake sijui nunua kiwanja sijua bana matumizi nampa tusi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ninunue kiwanja haja sijathibitishwa kazini.
Siiiiitaki nishauriweeeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani lkn placement zitakuwa zimesimamishwa sio bure mbn zamani walikuwa wanatoa ata Kwa interval ya siku 10 mpk 10 sahv jamani watakuwa wamesimamisha sio bure. Maana ata ndg zetu walimu na watu wa afya holaaah
Sio bure aisee, kimya kimekuwa kingi mno!
 
Litakuwa zito balaa
1. Madereva 120
2. Ugavi/Manunuzi na Accounting officers 70
3. Kilimo msaidizi 60
4. Mwandishi mwendasha ofisi 40
5. RMA 20
6 Kada zilizobaki 7
Naomba kuwasilishaπŸ˜…πŸ˜…
🀣🀣🀣
 
Yaani ile paap nimelamba asali utumishi, ile miezi ya mwanzoni mwanzoni naupa mwili pole . Mtu akija na vishauri vyake sijui nunua kiwanja sijua bana matumizi nampa tusi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikushauri siku mara paap mambo safi kwanza usipande magari ya usiku ili ufike asubuhi utakuwa unautesa tu mwili chukua basi ya saa tatu asubuhi kimbinyiko au shabiby Ile yenye choo ndani fikia lodge kali jioni baada ya kufika tembelea tembele kule udom na maneno ya Makulu kule usiende chako ni chako hakufai kule lala asubuhi wahi mapema Asha rose Migiro mpk saa nne ushamalizana nao faster unawahi chuma safi shabiby stand pale utaenjoy sana
 
kwanini chako ni chako hakufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…