Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu mtandao wa Maombi ya Polisi huko kwenu upoje jaman. Leo Siku ya tatu hamna kinachoendelea mtandao mbovu balaa. Je polisi wameongeza mda wa maombi??
 
Ni siku nyingine jobless wenzangu, ilaa.... Nimewaza, usikute database imeliwa na trojan horse! Huenda tunasubiri hewa
 
Hehee database inafanyiwa backup kila baada ya masaa kadhaa...kwahyo haiwezekani, we subir tu
 
Huu mtandao wa Maombi ya Polisi huko kwenu upoje jaman. Leo Siku ya tatu hamna kinachoendelea mtandao mbovu balaa. Je polisi wameongeza mda wa maombi??
Umu watu hawana time na polisi mkuu ni vema ujaribu mara kwa mara utakubali tu
 
Huu mtandao wa Maombi ya Polisi huko kwenu upoje jaman. Leo Siku ya tatu hamna kinachoendelea mtandao mbovu balaa. Je polisi wameongeza mda wa maombi??
Tumia network ya TTCL ipo vizuri ila kuna shida ya intanet Afrika mashariki tangu juzi, kuna cable imekatika baharini. ISP wengi wa bongo mtandao upo slow hadi leo.
 
Tukumbuke tu mwaka Jana wameajiri wengi sana usikute uhitaj wa watu makzin umepungua ndo maana haya yanatokea
 
Back
Top Bottom