Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye advertisement wanaandika 5 positions... Placement 2 positions.
Itakua wanaanza kuingia watoto wa vigogo
 
Utumishi oral tumefika kwa mbinde mikeka haitoki.
Polisi nao wametoa kazi leo siku ya tatu hapasomeki mtandao haukamatiki. Cha kushangaza kuna taasisi watu wanajitolea mwaka wa tatu plus na wanalipwa za kutosha yani unashindwa kuelewa hao wanaojitolea walipita wapi na tangazo la kuomba kujtolea hujwahi liona...?? Ee Mungu kuwa upande wetu.
 
Back
Top Bottom