Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kuzugia wanapga kazi ajira zipo🤣,hivi aibu hawaoni umati mkubwa halafu vpdf vya mchongoKuna pdf uchwara huko mkacheki
Aibu naona mimi uku😂daaah kazi ipo au ndo wametuonjesha kuna mazito yanakujIT kafanya yake
Daaah tuseme nn sisiKwenye advertisement wanaandika 5 positions... Placement 2 positions.
Itakua wanaanza kuingia watoto wa vigogo
🤣 🤣Aibu naona mimi uku😂daaah kazi ipo au ndo wametuonjesha kuna mazito yanakuj
kwenye hili pdf sidhani kama kuna mtu kachomoka humu.wote tumechezea 🤣 🤣Kina pdf uko jamn mlete ushuhuda
Ndugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
Hongera sana mkuuNdugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
Shukran mkuuHongera mkuu...leo imetoa matumain