Hongera mkuu....kakomae uje tupange foleni kusubiri pdfmm wameniselect mkuu
Bado Hajamaliza kituo kimoja cha BBC swahili ukanda wa Afrika mashariki........yes utumishi huwa hawatabiriki yaani huwa wanatoa pdf muda wowote tu..
Apeche AloloKwema umu? Vp leo mnuso wa pdf?mnahisi chochote🤣
labda pdf la matokeo 🤣 🤣Kwema umu? Vp leo mnuso wa pdf?mnahisi chochote🤣
Hata la matokeo bila bila..labda pdf la matokeo 🤣 🤣
walifanya usahili mwezi wa 4 ???Si kweli mbona mwaka jana pdf za kutosha zilitolewa mwezi wa 5. Na ya mwisho ilitolewa tar 24/5/2023
Hehee database inafanyiwa backup kila baada ya masaa kadhaa...kwahyo haiwezekani, we subir tuNi siku nyingine jobless wenzangu, ilaa.... Nimewaza, usikute database imeliwa na trojan horse! Huenda tunasubiri hewa
Mmh, kumbe! Lets keep on waiting...Hehee database inafanyiwa backup kila baada ya masaa kadhaa...kwahyo haiwezekani, we subir tu
Tusubir tu...mwaka huu umeanza vibaya...hata advertisements sio nyingiMmh, kumbe! Lets keep on waiting...
Umu watu hawana time na polisi mkuu ni vema ujaribu mara kwa mara utakubali tuHuu mtandao wa Maombi ya Polisi huko kwenu upoje jaman. Leo Siku ya tatu hamna kinachoendelea mtandao mbovu balaa. Je polisi wameongeza mda wa maombi??
Tumia network ya TTCL ipo vizuri ila kuna shida ya intanet Afrika mashariki tangu juzi, kuna cable imekatika baharini. ISP wengi wa bongo mtandao upo slow hadi leo.Huu mtandao wa Maombi ya Polisi huko kwenu upoje jaman. Leo Siku ya tatu hamna kinachoendelea mtandao mbovu balaa. Je polisi wameongeza mda wa maombi??
Mwaka ni mgumu mnoTusubir tu...mwaka huu umeanza vibaya...hata advertisements sio nyingi
Daaah mkuu sjui nn kinaendelea aiseee adi moyo umekufa ganzi ukiwaza yaliyo mbele,kama hali ndio hii iyo 2026/2027 itakuaje aisee💔😭Ni siku nyingine jobless wenzangu, ilaa.... Nimewaza, usikute database imeliwa na trojan horse! Huenda tunasubiri hewa