Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna taasis binafsi sijawah kuziona psrs..
Pssf, nhc au ndio zinaangukia MDAs
 
Tukumbuke tu mwaka Jana wameajiri wengi sana usikute uhitaj wa watu makzin umepungua ndo maana haya yanatokea
kibari kimetolewa 46,000 na kimesainiwa na MAMA ...Kama wamepitisha watoto wao hapo sawa Waseme ?...au
Wawe wakwel waseme pesa hamna zimeishia kwenye posho zao na vikao maana sasa hivi kila Taasisi 💥...
Mpak inapelekea Walimu na Afya ni kigugumizi!!!!
Mungu atusaidie tu......tunayopita jobless
 
Wamet
WAJOMBA MLIOFANYA TEST ZA LEO KADA ZA ACCOUNTS OFFICER II NA WATU WA KILIMO, VIPI WENZETU PAPER LILIKUWAJE AU NDIO MIKANDO JUU YA MIKANDO, MWENDO WA KUTOKA VICHWA CHINI.
Is
WAJOMBA MLIOFANYA TEST ZA LEO KADA ZA ACCOUNTS OFFICER II NA WATU WA KILIMO, VIPI WENZETU PAPER LILIKUWAJE AU NDIO MIKANDO JUU YA MIKANDO, MWENDO WA KUTOKA VICHWA CHINI.
Wameoa cost accounting,Isa 8,38, na zingine na mwasali ya foundation account,calculation zilikuwepo manufacturing account
 
Wanatunyoosha.... tukipata tusisahau kuwekeza...hii hali itatukuta after 60yrs tusipojipanga
Acha woga kijana unaweza kukuta hiyo 60 usifike wakafaidi mafao wengine wewe Mungu akikujaalia ukapata miaka 3 ya mwanzo rudisha shukrani kwa mwili wako kula bata kidogo sio unastaafu ndio unaanza kujirusha utasumbua wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…