Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ....Hongera sana Kiongozi Mungu akusimamie ukawe mtumishi mwema
 
Jamani mie naomba kuuliza kwenye izi online interview. Inakuwaje mtu anapata 59, 45, 47 ilihari maswali yanakuwa 50 maana ake Kila swali Lina marks mbili jumla 100. Maana mtu akipata 59 maana ake alipata 29.5 je Kuna maswali yanakuwa Yana marks 2.5 au?
 
Wanavyodai, maswali yana uzito tofauti..hiyo ata kabla ya mfumo iko hvyo
 
Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…