Professier
Senior Member
- May 5, 2023
- 115
- 190
Assistant lecture IAA, Examination officer,Admission officer, Quality management officer, Insurance officer...Kada zipi na wamelamba wangap
najuta bora nigesomeaga ulibrarian..Kama mshahara wako unaanzia 1m+
Utasubiri Sana. Ila Kama wewe ni PS, DEREVA, RMA, KILIMO Msaidizi, Mhasibu msaidizi. Andaa nauli tu.
Asanteni.
Tulia dawa ituingieee mkuunajuta bora nigesomeaga ulibrarian..
Sema tusijute sana Mungu ni mwema kuna wakati wetu unakuja na sisi tutashangilia😊najuta bora nigesomeaga ulibrarian..
Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sanaAssistant lecture IAA, Examination officer,Admission officer, Quality management officer, Insurance officer...
Degree holder anaanza na ngapi?Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
Wanatoka baada ya PDF zaidi ya 4 na wakitoka siyo wengiAssistant lecture IAA, Examination officer,Admission officer, Quality management officer, Insurance officer...
utumishi wanazingua mfano mimi ni mpishi mzuli tu lakini nikiapply system inagoma eti kisa nina degree ya umeme sasa si ndio vizuri hata jiko likipiga shoti natengeneza naendelea na kazi....Wanatoka baada ya PDF zaidi ya 4 na wakitoka siyo wengi
Ila madereva na PS, na watu wa kilimo NI Kama mvua
Sasa hapo ondoa cheti cha degreeutumishi wanazingua mfano mimi ni mpishi mzuli tu lakini nikiapply system inagoma eti kisa nina degree ya umeme sasa si ndio vizuri hata jiko likipiga shoti natengeneza naendelea na kazi....
Kuna mtu namjua hapo amepewa nafasi TIRA Mungu amtangulieWaliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
Tusiwe wepesi kulaum afadhali wewe una degree au una matumaini ya kuomba kazi. Wengine hata hawana cheti cha kuombea hyo kazi. Wengine degree tunazo huu mwaka wa tisa hapasomeki. Muhimu dua na subira. Tusikufurunajuta bora nigesomeaga ulibrarian..
sasa waruhusu tuweze kuapply na kazi nyingine ambazo tunaziweza.kua na digree sio zambi unakuta mtu yuko vizuri jikoni lakini wanambania kazi za upishi sjui wanajua tutakua tunadokoa nyama... 🤣 🤣Tusiwe wepesi kulaum afadhali wewe una degree au una matumaini ya kuomba kazi. Wengine hata hawana cheti cha kuombea hyo kazi. Wengine degree tunazo huu mwaka wa tisa hapasomeki. Muhimu dua na subira. Tusikufuru
🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu wanaangali the highest qualification.utumishi wanazingua mfano mimi ni mpishi mzuli tu lakini nikiapply system inagoma eti kisa nina degree ya umeme sasa si ndio vizuri hata jiko likipiga shoti natengeneza naendelea na kazi....
Mkuuu hebu tutajie kidogo salary scale zao mkuu.Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
Wana utofauti mdogo sana na TRA kwa officer wanaoanza kaziMkuuu hebu tutajie kidogo salary scale zao mkuu.
Degree holder anaanza na ngapi?
Kuna mtu namjua hapo amepewa nafasi TIRA Mungu amtangulie
Kaka mbona unawasema HKL nawewe umetoa formula ya uongo! Hii formula yako ni sawa na kusema marks uliyopata unazidisha kwa mbili, of which haiwezi kuleta jibu la decimal!Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
🙄🙃Wana utofauti mdogo sana na TRA kwa officer wanaoanza kazi kumbuka TRA ni 2M+ kwa officer wapya