Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Assistant lecture IAA, Examination officer,Admission officer, Quality management officer, Insurance officer...
Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
 
Wanatoka baada ya PDF zaidi ya 4 na wakitoka siyo wengi
Ila madereva na PS, na watu wa kilimo NI Kama mvua
utumishi wanazingua mfano mimi ni mpishi mzuli tu lakini nikiapply system inagoma eti kisa nina degree ya umeme sasa si ndio vizuri hata jiko likipiga shoti natengeneza naendelea na kazi....
 
Tusiwe wepesi kulaum afadhali wewe una degree au una matumaini ya kuomba kazi. Wengine hata hawana cheti cha kuombea hyo kazi. Wengine degree tunazo huu mwaka wa tisa hapasomeki. Muhimu dua na subira. Tusikufuru
sasa waruhusu tuweze kuapply na kazi nyingine ambazo tunaziweza.kua na digree sio zambi unakuta mtu yuko vizuri jikoni lakini wanambania kazi za upishi sjui wanajua tutakua tunadokoa nyama... 🤣 🤣
 
utumishi wanazingua mfano mimi ni mpishi mzuli tu lakini nikiapply system inagoma eti kisa nina degree ya umeme sasa si ndio vizuri hata jiko likipiga shoti natengeneza naendelea na kazi....
🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu wanaangali the highest qualification.
 
Waliopata insurance officer hao wameula kweli kweli TIRA Kuna asali nzito sana hapo nikitaja salary scale zao hapa tutakimbiana humu Wana mishahara mizuri sana
Mkuuu hebu tutajie kidogo salary scale zao mkuu.
 
Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
Kaka mbona unawasema HKL nawewe umetoa formula ya uongo! Hii formula yako ni sawa na kusema marks uliyopata unazidisha kwa mbili, of which haiwezi kuleta jibu la decimal!
 
Back
Top Bottom